Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

CHADEMA wamepata jembe la uhakika ba ukweli, CCM wamepata hasara wamepoteza mwanachama muhimu katika chama chao
 
Ivi angekuwepo dr slaa angeshangilia ujio wa Wema? Ivi watuwanaojitambua ndaniyachadema unadhani wanafurahia hili jambo?
 
Kweli Pengo la Dr Slaa linaonekana..Chadema wanatoka kua chama kikuu cha upinzani kua comedy party! Hivi hata kama Mashinji amepwaya kama Katibu mkuu nini nafasi ya kina Prof Baregu na mwenzie Prof Abdallah Safari? Tangu nini chadema ikaanza kucapitakize na siasa za kina Wema? [HASHTAG]#OMG[/HASHTAG] [HASHTAG]#SMH[/HASHTAG]... Kwa hili mnatukwaza sana aisee na sio kwa sababu ni wana chadema hapana.. Ni kwa kua tunatambua umuhimu wa kua na strong opposition for check and balances! Afadhali Leo ni ijumaa.. Daaah
 
Chadema kuna madodoki mengi...alisafishwa Lowassa watamshindwa Wema Sepetu? Ila vita ndio imeanza sasa.....Wema asipo jipanga atapotea kabisaaaaaaaaaaaaa!!!! Namaliza kama the Bold "Si vis pacum para bellum" (if you want peace, prepare for war)
 
Chadema kuna madodoki mengi...alisafishwa Lowassa watamshindwa Wema Sepetu? Ila vita ndio imeanza sasa.....Wema asipo jipanga atapotea kabisaaaaaaaaaaaaa!!!! Namaliza kama the Bold "Si vis pacum para bellum" (if you want peace, prepare for war)
Ww vip? Kwani wema ni jini asipokelew?ni binadam km ww ana haki zake
 
Ukisoma baadhi ya message za wana CCM mitandaoni utagundua kabisa roho zao zinawauma kukimbiwa na mwanadada machachari Wema Sepetu. Lawama zinawaendea CHADEMA eti wanakichafua chama kwa kumchukua Wema kuwa mwanachama wao na kwamba chama kitanuka harufu ya uuza unga. Hii ni kichekesho sana ukizingatia Wema hajahukumiwa kuwa ni muuza dawa au ni mtumiaji. Kama mwanadamu, Wema anaona amedhalilishwa sana na watu ambao amewasaidia sana kuingia Ikulu. ANAONA HASTAHILI KUZUSHIWA NA KUHARIBIWA BRAND na watu kama akina Makonda kwa kuwa tu kamkatalia kimapenzi. Binadamu yoyote hawezi kuendelea kuishi na mtu ambaye hakuthamini wala hathamini mchango wako! Namuunga mkono Dada Wema kwa uamuzi wako, ningeshangaa kama ungeendelea kubaki huko! Karibu CDM tuikomboe nchi. Makelele ya CCM juu yako ni kwakuwa ROHO zinawauma wewe kuondoka. NAAMINI WENGI WAKO NYUMA YAKO. Tawala za dhulma huwa hazidumu
.....
.....wacha tu Mkuu Leo lumumba haikaliki
 
Nazidi kuwa na wasiwasi na upinzani. Wema kuamuka Kwa msukumo upi. Subiria wampige miezi 6 ndo hataelewa.
 
Hahaha leo nimeamini kitu nilikuwa mwanzo nahisi wanasingiziwa tu wapizani lakini sasa naamini kuwa wapizani ni sehemu ya wakosaji tu yaani kama wapizani wangekuwa na Akili basi wangefahamu Wema na Waovu wengine kuja kwao huo si Mtaji bali kuendelea kukidhoofisha chama chao kwani Lowasa list ya Mafisadi no 1 amekosa ccm amekwenda kwa wasaka shilingi wapiga deal weziwe Wema Mtuhumiwa wa Madawa ya Kulevya kosa kafanya amehamia Chadema sijuwi kama pia ni chama cha wauza Unga na wala Unga sasa waendele tu kuwakushanya wahalifu .... Kwa hali hii mimi katu sitatoka CCM milele ..... Upizani bado sana
 
Wema ni sahihi kuhamia huko, ccm ya magufuli sidhani kama ataiweza.
 
Nikiunganisha maneno ya Steve na mishe za mkwanja kwa ajili ya kuwatisha CCM. Na. wale jamaa kushtukia ishu ya mkwanja ili. wale. wote. haha hah hah hah C.C.M wamemjua mchawiiii.



Ila bado najiuliza kwani mama Wema. afuge mashoga?
 
Back
Top Bottom