Ukameyaani kuna mahali jana nimesoma Dar mnauziwa kilo ya maharage 3000 tsh na ( SEMBE ) Unga wa mahind 2000 tsh bado watu wanahis mambo yako powa mtanyooka tu
Ukameyaani kuna mahali jana nimesoma Dar mnauziwa kilo ya maharage 3000 tsh na ( SEMBE ) Unga wa mahind 2000 tsh bado watu wanahis mambo yako powa mtanyooka tu
Kuna asiye wajua mashoga? Labda kama wenyewe hawajijui na watakapo kuja kujisajili huko ndiyo mtawajua vizuri!Kigwangalah amewajuaje? maana mwenzie ilibidi "ashughulike" na msambwende wa masogange ili awajue anaowatafuta.
Ukame
CHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.
welcome madam CHADEMA pride of Tanzania!
Unadhani itakuwa ipi? Ni sawa tu na chadema ni ile ile.ccm ni ileile
Kama uchi ungekuwa unapimwa kama sembe, wema angebaki na less than 0.1mgUyu demu(wema sepetu) katembea na kila mtu bongo,
wasanii wa filamu(RIP kanumba), wafanyabiashara, shabiki zake, wasanii wa muziki(DOMO), CCM, & finally chama tukufu CDM
kwa hiyo mkuu angekataliwa kuwa mwanachama? kumbuka chama ni wanachama....Swala so ukabila, swala ni kwamba, ccm wakimtupa mtu kuwa;-
Huyu fisadi nyie ndiye mnamtaka.
Huyu muuza madawa!! nyie. njoo!!! tunakuhitaji
Huyu mshoga nyie ndio kwanza, karibuu!!!
Watanzania oneni alama za nyakati mapema.