kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,184
>> DAWA zinawakosesha WATU papuchi >>
Hatushangai, ni kawaida ya Chadema kupokea wachafu wote na kuwasafisha.....bado Manjwelcome madam CHADEMA pride of Tanzania!
wote watarudi kwa mwendo huu ila nape anaumia sana dah
Kwa sababu ya kuhamia kwa wema ama kuna kingine......
.....Chadema Chama la.Taifa
Umenikumbusha mbunge viti maalumu Chadema iringa anaitwa kabongo alikuwa CCM na cheo kikubwa tukashangaa anachaguliwa mbunge viti maalumu Chadema wafuatiliaji mfuatilieniWema alikuwa agent wa mbowe
Pamoja na hilo, tunaendelea kuwapa ccm agenda dhidi yetu.Huyu wema tumpokee ila tuwe naye makini sana.Maana huwa njaa zinawasumbua mno.Akivutiwa za mbonga anahama na kuongea shit.so aweke kwenye uangalizi maalumu kwanza.
YANI NIMECHOKAAAAA!
wamewaza nini?
STOOPING THIS LOW?
Azzan, diwani wa Mbagala hao wote wako CDM?alikuwa ccm, tukaishi naye vizuri, na hatukujua kama anajihusisha na madawa, sasa tumejua tumemshughulikia aende kwa wauza ngada wenzie..
chama cha democrasia na madawa..
Mama sema na mwanaoHuyo hana madhara aende
CHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.
NDO NIMEJIULIZA!
NANI MWENYE AKILI KISIASA ANATAKA KUWA KARIBU NA HII KITU?
SUALA LA WEMA KUGOMBEA UBUNGE,kuwa kwenye timu ya makamu wa rais na kuweeemo kwenye list lilikuwa ni doa kwa chama!
NANI ANGESUBIRI KUWAZA KUSUKUMIZA ZIGO THE OTHER SIDE?
NA THE OTHER SIDE WANAPIGA NA SELFIE!?
kwa shida ipi ya attention wanayoihitaji kiasi kuwe na umuhimu wa japo kuvuta watu miktano ya kampeni?
KATIA VITU NILIKATAA KUVIELEWA KWENYE SIASA ZA NCHI HII NI HIVI!
LIKE SERIOUSLY?
CHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.
HATA KAMA KAJILETA!hivi Wema kajileta mwenyewe Chadema au Chadema ilimfuata?
kama kajileta mwenyewe, sioni tatizo kwa Chadema kumkataa.
ila kama Chadema ndiyo "wamemtongoza" basi they must be out of their freaking minds!