Msanii wa Muziki wa Dansi nchini "Amigolas" Amefariki Dunia

Msanii wa Muziki wa Dansi nchini "Amigolas" Amefariki Dunia

Marehemu Abuu Semhando ndiye alikuwa Baba Diana.

Huyu bwana akiitwa "Amigolas babaa na Sophy",alipenda sana kutamka hivi Choki,Mungu akulaze pema Khamis,ktk wimbo fainali uzeeni nilikuwa napenda sana anavyoghani shairi na sauti yake nyembmba kidogo,pia nzito kidogo isiyokuwa na mikwaruzo.."maishaa mwendoo mdundoo,nakueleza ewe bwanaa,wengi wameyachezea haya maishaa,sa'wanajuta,,nnnakukumbuka kuwa maisha fainali iko uzeeni eeeeh eh eh",changanya na drum za Abuu na tumba za MCD....dah,Mungu awarehem hawa jamaa.
 
Poleni wana Twanga kwa kuondokewa na mkongwe Amigo...
 
R.I.P Amigolas - Hivi yule Jesca yuko wapi siku hizi nasikia ni Muke ya Muzungu!
 
Back
Top Bottom