Msanii wa Muziki wa Dansi nchini "Amigolas" Amefariki Dunia

Msanii wa Muziki wa Dansi nchini "Amigolas" Amefariki Dunia

He's my cousin, it hurts so bad that I won't be able to attend his funeral, I'm very broken & shocked. Rip cuzo.
 
R.I.P Jembe.
Kwa ujumla huyu ndie mwanamuziki wa kwanza kupata umaarufu twanga kabla ya Banza.
Huyu bana alikua akiimba nyimbo za kilingala za kina jb mpiana,koffi,mutwashi vizuri sana pale mango.enzi hizo wabongo walikua huwaambii kitu kuhusu nyimbo za wacongo.mpaka pale banza alipotunga kisa cha mpemba ndio akapokonya kijiti.
Choki kaja kuwa maarufu baada ya Banza kuhamia Tot na choki kumtungia rap kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi
 
Amigolas mzee wa mustachi
Ndivyo nilizoea kukusikia wakikuita pale twanga city
R.I.P
 
RIP

Kama sikosei huyu ndiye aliyetunga fainali uzeeni....

KWELI KABISA HUYU NDIO KWA KUSHILIKIANA NA JESCA CHARLES NDIO WATUNZI NA WAIMBAJI VIONJO BORA KABISA VYA HUU WIMBO WA fainali uzeeni!R.I.P Amigoloas
 
Inna Lillah Wainna Ilayhi Raajiun.
Apumzike kwa Amani na msiba wake utukumbushe tulio hai kuwa nasi tu safarini.
 
He's my cousin, it hurts so bad that I won't be able to attend his funeral, I'm very broken & shocked. Rip cuzo.

Pole mkuu.
Naamini ulifahamu kuhusu kuugua kwake na ulipata nafasi ya kufanya chochote kusaidia matibabu yake.
 
Return If Possible Amigolas, sio alikufa kwa kukosa dawa kweli?
 
Back
Top Bottom