Huyu kijana ni mmoja wa wasanii waliokataa muda mrefu dhuluma inayofanywa na clouds entertainment wakaja na issue ya VINEGA akiwa na Sugu, Mkoloni na wengine. Sasa lady jd nae ndani
Kamanda mla unga? Asije akawa Kama Mangwair maana Ule mchezo wake hajaacha. Huwezi pata kitu unapoteza muda wako bure lakini hata wewe huna cha kupoteza maana huna Mbele wala nyuma najua muziki haupo nawe tena
Achana naye huyo always huwa hana point.kwahio unataka wakimbilie proini? au kwenye nyumba za ibada? mbona wakija CCM unakua kimya?
Tatizo lake kubwa ni powder asije akawa Kama Mangwair
Kamanda mla unga? Asije akawa Kama Mangwair maana Ule mchezo wake hajaacha. Huwezi pata kitu unapoteza muda wako bure lakini hata wewe huna cha kupoteza maana huna Mbele wala nyuma najua muziki haupo nawe tena
Hawezi kujiunga na hawa
View attachment 99318
Mwigulu si upo bungeni au unasubiria ndiooooooo? Si bora hata mla unga kuliko wewe uliyeugua kichaa na ukabakiwa na upum.b.a.v.u kichwani!!!
Mkuu ni kweli kabisa.Yaani hata wewe unawadharau watu wa segerea sana inabidi utuombe radhi maana huwezi kuwa kiongozi wetu. Umeacha ile tabia ya Mangwair? Maana wewe upo Kama the late kila mmoja anajua hilo
Migisha! Tatizo la CCM niwaongo mno halafu ni wasahaulifu! Nilishamwambiaga Mizengo Pinda kua ukiwa muongo pia usiwe msahaulifu!Mheshimiwa ndallo umeitoa wapi hii? Umenifurahisha sana mpaka mke wangu amenishangaa.
Vipi leo umeamua kuitumia id hii. Vipi zile id za utaifakwanza na bungeni umeziacha?
Tumemtimua kwa sababu ya kuendekeza 'sembe'Unasema hayo kwasababu kajiunga na cdm au., angekuwa kwenye hichi chama chenu cha kigaidi (ccm) usingesema haya.
baHivi ndivyo alivyo funguka Twitter na FacebookView attachment 99314
"Shikamoo Mbunge wa Segerea Bwana Makongoro Mahanga,imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA"
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Mkuu ni kweli kabisa.
Huyo dogo pia niliwahi kumpa kipigo cha mbwa mwizi hapo dar maeneo ya airport kuna bar moja ilikua inaitwa 'KBV'nadhani bado ipo,walikua na chapombe mwinzie 'SUMA G'niliwapa kichapo sana ilikua 2001.
Jamaa eti ananiambia mwanaume mzima unakunywa soda.Ebana alijuta.
Ata hapa Arusha nimemtoa sana,maana kuna kipindi alichoka balaa.
Eti ndio awe mbunge wenu lol!