'Alikuwa mtu mzuri sana na mfano wa kuigwa kwa uvaaji na tabia zake' Amen!
nasikia kaolewa majuzi tu
Imani za kishirikina unazo wewe unaekwenda guest na kimada na silaha za kivita!kwani wao hawapaswi kufa,unataka kuleta imani za kishirikina
hahahaha
ccm wametufikisha hapa tulipo!duu sijui JK ataenda pia ktk msiba huu maana jana katoka kuwapa pole khadija kopahizi shule za kata za mbatia utata mtupu
nacheka kitandani mkuu! hii ya kideri umekumbuka mbali sanaRIP dada yetu. Naona kama kideri kimeingia
Oh... so sad, hata nilikuwa namkubali sana!
Ameigiza filamu gani, mie hata simjui
Pole kwa wafiwa ingawaje ndio kwa mara ya kwanza nalisikia hili jina na kumuona muhusika mwenyewe