Baada ya miaka 60 ya Uhuru bado kuna viongozi wanatumia propaganda rahisi za ubeberu. Huku wakiwakubalia mikataba mibovu . Awamu ya tano ilikuwa awamu ya giza. Mungu ni fundi na anaipenda nchi hiiAwamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.
Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?
Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.
Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.
Jee mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Lile lilikuwa neno lililotumika kishamba na mshamba mmoja aliyekuwa hajui dunia ikoje wala siasa zake zikoje! Na alilitumia kuwachota akili wapuuzi wa kitanzania walioaminishwa kuwa ni wanyonge na wakafurahia kuitwa wanyonge.Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.
Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?
Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.
Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.
Jee mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Mabeberu ni msamiati ulioibuka miaka ya kusaka uhuru na sio awamu ya tano.acha kupotosha ummaAwamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.
Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?
Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.
Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.
Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Mwalimu hakuwa anashindana na "mabeberu" kwa namna ile ya mwenda zake na ndio maana alikuwa Rafiki mkubwa sana wa Wakubwa wa Magharibi na Mashariki pia.Kushindana na beberu kunahitaji akili kubwa, kashindwa Mwalimu sembuse yule kilaza meendazake
Kuanzia Leo chattle iitwe mabatini!kaburi la mabati chattle
Ni mengi hayapo tenaAwamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.
Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?
Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.
Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.
Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Wameufunfia kwenye kibanda umiza huko chattelAwamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.
Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?
Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.
Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.
Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
YanafananaSawa, jee matumizi yalifanana? Walivyotumia wasaka uhuru na hawa wa awamu ya tano ilikuwa inafanana?
Alikufa nalo mwendazake na sasa wafuasi wake wamebatizwa na mhuri wa moto.Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.