Msameheni MARIA ROZA

Status
Not open for further replies.
AD, Maria kaomba BAN ili aweze kumaliza shughuli zake zilizomkabili hakufanya kosa lolote. Si unajua tena jamvi hilo lilivyo addictive? Shughuli muhimu zinaweza kulala ati kwa kutaka kuchungulia huku kila dakika.
Duh! Nilishtuka sana. Ninamuombea aendelee na shughuli zake vyema na arejee.
 
Mmmmmh! Hapana wangu, sasa nikiomba BAN nitakuacha na nani hapa?!! Kama vipi tuombe pamoja

hahahaahhaahah lol
unavituko sana wewe..
mie unifungie kweny chumba cha PM
uache dirisha kidogo ili nipate hewa
mlango toboa kidogo
wapate kuni dondoshea chakula na maji..
nta kaa hapo mpaka weye mwenye
funguo zote urudi dear
hahahahahah lol
 
sheria imewekwa ili ifuatwe, sio kama serikali ya JK inaangalia status yako ili ikufikishe mahakamani! lol kwa stali hii tunasikia ooh MARIA ROZA mshikaji( RA, EL washikaji) tusiwa-BAN.

uzuri hakuvunja sheria yeyote my dear ...
 
wakuu wa JF twaomba sana msameheni Maria Roza
kwani kuna jukwaa fulani halitaendelea vizuri bilaa yeye
..

twaomba sana wakuu muondoe hiyo BAN ..

Ooohoo so sweet my dia
Im back nilikuwa na essay nyingi thanx God nimemaliza salama
much love swetie nakupenda!
 
Ooohoo so sweet my dia
Im back nilikuwa na essay nyingi thanx God nimemaliza salama
much love swetie nakupenda!

nafurahi sana kukuona tena dear..
pole sana na hizo essay
sasa pressure yangu ya moyo itapungua..
karibu tena mpendwa
 
Back to the days when Maria Roza was a Super Muwezeshaji wa Jukwaa kuu la JF....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom