Msameheni MARIA ROZA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msameheni MARIA ROZA

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by afrodenzi, Jan 31, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  wakuu wa JF twaomba sana msameheni Maria Roza
  kwani kuna jukwaa fulani halitaendelea vizuri bilaa yeye
  ..

  twaomba sana wakuu muondoe hiyo BAN ..
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kwani amekosa nini mpaka unamuombea msamaha?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  mm afro na wewe ni mdau wa kule kumbe
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kapigwa BAN
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahhaahah lol
  naendaga kuchungulia tu hahah lol
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280

  AD, Maria kaomba BAN ili aweze kumaliza shughuli zake zilizomkabili hakufanya kosa lolote. Si unajua tena jamvi hilo lilivyo addictive? Shughuli muhimu zinaweza kulala ati kwa kutaka kuchungulia huku kila dakika.
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Kule kuna nini tena??

  Halafu wewe kuchunguza chunguza BAN za watu uache. Mara Rev mara nanihiii leo MR unatafuta nini huko???
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  nawe ulikimbiaga wapi ??
  ulikuwa unaogopa Ban.. hahha lol

  kule muhimu kuchungulia chunulia tu lol..

  Duhh umepotea wewe...
  na una makesi balaa ngoja ni rudi kutoka kazini
  ntaku PM...

  take care
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  duuhh haya
  mkuu asante sana kwa maalezo..
  thats very smart actually ...
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hebu peruzi thread zote uone jinsi nilivyokumisi angalia vizuri basi na wewe acha kulalamika tu

  Halafu unambie kama umeona
   
 11. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aisee ni kweli kabisa, hata mimi nimeshtukia performance imepungua sana katika shughuli zangu. Kila saa nawaza kuja JF.

  Kweli JF ipo so so addictive...!
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,812
  Trophy Points: 280
  Omba kibano Mkuu hata cha siku chache ili ufanye shughuli zako za kujenga Taifa.

   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  Daah asante sana kwa kujibu swali lililokuwa linaumiza kichwa changu,kila nikijiuliza kafanya nini sipati majibu,
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  duuuuuuhhhhhhh:coffee:
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Jamani huyu mama nimekubali anapendwa sana hapa jamvini. JF founder nirudie tena alitueleza kuwa kaomba mwenyewe ban ili afanye kazi kwanza, atarudi kesho!
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  nilifurahi sana kusikia huu ujembe ..
  na asante sana na wewe kwa kuuleta tena hapa..

  samahani naomba kuuliza huyu ni wewe??? [​IMG]
   
 17. CPU

  CPU JF Gold Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani, kwani mtu anaombaje BAN??? Mi sielewi ???!!! lol
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  nadhani una m PM Maxino au invisible halafu unaomba siku ngapi wataka wakuondoe...
  duuhh na we wataka kuomba Ban nini??
   
 19. CPU

  CPU JF Gold Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mmmmmh! Hapana wangu, sasa nikiomba BAN nitakuacha na nani hapa?!! Kama vipi tuombe pamoja
   
 20. M

  MFILIPINO Senior Member

  #20
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sheria imewekwa ili ifuatwe, sio kama serikali ya JK inaangalia status yako ili ikufikishe mahakamani! lol kwa stali hii tunasikia ooh MARIA ROZA mshikaji( RA, EL washikaji) tusiwa-BAN.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...