Msakila Kabende - CDM inayokataa BODABODA NA WANAWAKE inajivunia nini?

WanaJf,
Salaam!

Haya ni maneno ya viongozi wa juu wa Chama cha Chadema:-
(a). Tundu Lissu - Tanzania ni nchi pekee duniani yenye watu waoga na wajinga. Aliongeza kuwa "nilitegemea kuona vijana na wanawake wakidai haki zao". Kwa mukitadha huu vijana na wanawake kutodai haki zao kwa mjibu wa CDM ni ujinga! CDM jichunguzeni.

(b). Godbless Lema - aliyoyasema kuhusu vijana wa bodaboda ni kuwakosea heshima vijana wetu, ni kuwakosea heshima wazazi wa vijana wetu, ni dhihaka kwa wanawake nchini. BODABODA NI KAZI YA LAANA.
CDM JICHUNGUZENI!

Nawakumbusha tu ili 2025 tusishangae kwenye kwa matokeo mabaya
Hatushangai kwa kuwa Lisu vijana wake ni raia wa usa. Huyu mwingine anabwabwaja tu kila kuchao vijana, wanawake na ugali sijui huko Canada alikokuwa alilishwa maharage ya wapi.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Ukosefu wa hoja, yaani wanafikiri kila machinga, bodaboda na mama ntilie ni mhitimu wa chuo kikuu kwamba lazma aingie ofisini. Lakini bodaboda hao ndo wamekuwa wakitumika ktk kutetea wanasiasa hadi kushinikiza watangazwe kwenye chaguzi hata maandamano. Watakuwa hawajui maana ya kazi
 
Lema ni mpuuzi sana!
Halafu mtu mwenye "kichwa cheupe" kama Godbless Lema eti naye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA!
CHADEMA ni debe tupu kabisa!
Kama ni debe tupu tuu unahangaika naye nini?
Mbona hukomenti kauli za kijinga za Musukuma, Kibajaji na wapuuzi wengine
 
Back
Top Bottom