lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Hapo weka na kondoo wakatawanyika.mhh mna misemo humu jfNalimpiga mchungaji, kondoo wakatawanyika.
Anazungumzia kwenye chama chao. Kama anataka ajitoe CCM na atakuwa huru kama Lowassa.Kwani Membe hana haki ya kugombea urais 2020?? Mbona wanaweweseka.
Lafudhi yake ni wazi kabisa kuwa si raia wa TanzaniaOnyesha uraia wako kwanza
Huyo msaidizi wa polepole cjakuelewa alivyokuwa anataja wamachinga,mama ntilie na wanafunzi wa vyuo alikuwa anaongea nn? maana hata alivyowataja alikuwa anakusudia nini kwenye hiyo press yakishamba!nilitegemea aseme kuwa wanaunga mkono juhudi za jiwe kuwa anafanya kazi nzuri yaani ningetua pale lumumba
Ishu ya 25% mafao ndio kaburi lenu 2020 ndio ajenda kuu watakayo itumia ccm b vs ukawa dhidi ya ccm makinikiaWanaccm wenzangu huu co wakati wa malumbano , tujenge chama kwa hoja za kujenga cokutishana,, embu tuzungumzie pension ya wastaafu ambao ci wanasiasa
Si dhambi katiba yao inaruhusuSasa kugombea uraisi ni dhambi