Msaidizi wa Polepole asema Membe ameitia najisi CCM

Haaaa huyu amepenyaje mpaka huko duuuh slim muda umeisha wataalamu wamekustukia wanaingia wenyewe
 
Huyo msaidizi wa polepole cjakuelewa alivyokuwa anataja wamachinga,mama ntilie na wanafunzi wa vyuo alikuwa anaongea nn? maana hata alivyowataja alikuwa anakusudia nini kwenye hiyo press yakishamba!nilitegemea aseme kuwa wanaunga mkono juhudi za jiwe kuwa anafanya kazi nzuri yaani ningetua pale lumumba
 
Wanaccm wenzangu huu co wakati wa malumbano , tujenge chama kwa hoja za kujenga cokutishana,, embu tuzungumzie pension ya wastaafu ambao ci wanasiasa
Ishu ya 25% mafao ndio kaburi lenu 2020 ndio ajenda kuu watakayo itumia ccm b vs ukawa dhidi ya ccm makinikia
 
Ukitaka kujua mwenye speaker kanyaga Waya.Walidhani ukiua chadema upinzani utakwisha,upinzani ni nature ukiuuwa huku unaamia huku, upinzani wa ndani ni Mkubwa sana na ni hatari kuliko wa nje
 
Msaka tonge kakaririshwa ajui hata ana press nini katiba yao iko wazi,kugombea si dhambi.

Back
Top Bottom