Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

hapo nashindwa kuelewa weledi wa jeshi letu maalim seifu wa zanzibar aliyejumlisha na kutangaza yupo mitaani hawa walio jumlisha wanaswekwa ndani au polisi zanzibar tofauti na huku au kunalingine nyuma ya pazia
Hata January uchanguzi ulikuwa haujaisha akasema wanaongoza majimbo 176 hakuchukuliwa hatua kosa la wengine ni kufatilia kura zao wakiwa UKAWA?
 
Mengi anatakiwa ajue kwamba uchaguzi umekwisha na Rais kaishaapishwa, aache kuleta siasa kwenye mambo ya kiuchunguzi yanayohusu vyombo vya usalama. Mud<script id="gpt-impl-0.5478544533252716" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_75.js"></script>a mwingine ndio maana anazomewa.
unato wewe!! Tuseme siku azam wakitangaza habari mbaya tunamkamata bakhresa? Mi kun mingine inatoaga harufu tu hata ikifunikwa kwa suruali na kofuli na bukta
 
Labda Wananchi wa Kishumundu na Kibosho lkn WatanZania waliobakia wana Imani na Magufuli kwanza hata wale waliompigia kura fisadi Lowasa wameanza kujutia kura zao baada ya kuona kasi ya Raisi JPM!

Hao wa Kishmundu na Kibosho siyo watanzania???Acheni kutugawa.Uchaguzi umeisha,Hata nyie mnatakiwa muwe ndani saa hizi sababu ya kuendeleza ukanda na ukabila.
 
Hao wa Kishmundu na Kibosho siyo watanzania???Acheni kutugawa.Uchaguzi umeisha,Hata nyie mnatakiwa muwe ndani saa hizi sababu ya kuendeleza ukanda na ukabila.

Ikiwa wewe ni Mtanzania halafu humtambui rais huo ni uhaini. Hukumu yake kwenye baadhi ya nchi ni kunyongwa hadi kufa. Tahadhari ichukuliwe.
 
Inamaana wakati wa ile kashfa huyu ndo alikuwa boss Stanbic?

Hiki ulichokiuliza kipo chini sana ya upeo wako ninaouelewa, lakini kwa jinsi nilivyokusoma tangu uanze kuisakama CHADEMA nimegundua umeambukizwa akili za washabiki wa CCM ambao akili zao nyingi zinafanana na zile za ubongo uliokufa.ili uelewe nilichokuandikia ebu jiulize zile lumbesa za fedha zilichukuliwa mwaka gani?
 
Uzuri ni kuwa hatatoka polisi akaishia jela, atakwenda mahakamani na mahakama itasikiliza kesi na itayatolea hukumu mashtaka kulingana na sheria, na pia atakuwa na mawakili wa utetezi.

Hivyo polisi sio mwisho, na kwa hiyo sioni sababu ya watu kuanza kupiga kelele humu utadhani hukumu ya kwenda jela imeshatolewa tayari.
 
Hiki ulichokiuliza kipo chini sana ya upeo wako ninaouelewa, lakini kwa jinsi nilivyokusoma tangu uanze kuisakama CHADEMA nimegundua umeambukizwa akili za washabiki wa CCM ambao akili zao nyingi zinafanana na zile za ubongo uliokufa.ili uelewe nilichokuandikia ebu jiulize zile lumbesa za fedha zilichukuliwa mwaka gani?

Wala usimlaumu mwanakijiji. Mlaumuni Mbowe aliye likaribisha lifisadi Lowassa kwenye chama chenu. With Dr Slaa leo hii mngeweza kuwa na wabunge hata viti 50% bungeni. Ila Lowassa amewapa hasara....maana kuna majimbo yamewakataa CHADEMA/UKAWA kwa sababu ya ufisadi wa Lowassa. Matokeo yake hata bungeni mmeambuli 35% tu ya viti. Hii CCM mtaiwezea wapi!? Lowassa kawapa hasara kubwa sana.
 
sijui kama uliiona hii sentesi
Kabla ya kuingia kwenye masuala ya siasa, Awale alikuwa Ofisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya Stanbic nchini Tanzania kabla ya kuachia ngazi mwaka 2013.

Inamaana wakati wa ile kashfa huyu ndo alikuwa boss Stanbic?
 
Asante Mungu kutuepusha na lile fisadi, asante sana JK kuhakikisha fisadi lile halipiti kuanzia kwenye kamati ya maadili, wala kamati kuu, mbona tungekoma!
chupuchupu gasi yetu

gesi yenu ipi? gesi ilishauzwa wewe baki ukibwabwaja tu
 
Swali lako lina element za kinafiki, na bila shaka unaweza ukajidhani kuwa umeongea jambo la maana. Nikukumbushe kuwa, asilimia kubwa ya maovu yanayohusika na hicho unachochagiza yamefanywa na watu ambao tunawataraji kuwemo kwenye serikali inayoundwa. Kama una dini kaa tafakari!

#Mwana Mtoka Pabaya. Umesema vyema. Walio sober katika kuyapokea na kuyatafakari yote yaliyojiri kabla, wakati na yanayoendelea baada ya uchaguzi, watakuelewa.
 
nina wasiwasi inawezekana huyu jamaa akawa na siri nyingi sana za marumbesa ya stanbic labda wanataka kumficha kabla moto haujawaka bungeni kwa sababu hata kafulila wamehakikisha harudi mjengoni hapa kuna kitu kimejificha ngoja tuone mpaka mwisho
 
Mtamlilia sana Kikwete! Wale wooote wanao dhani awamu ya tano ni awamu ya kutukana kwenye media na uhuni mwingine wowote basi eleweni kuwa jeshi la polisi limeagizwa kufanya kazi at full capacity. Huyo Awale ana tuhuma zake za kutakatisha pesa haramu pale Stanbic. Nipashe walitaka kuuza gazeti ndio maana wameandika habari yao kwa kuokoteza kwa kuwa bado hawajapatiwa taarifa kamili kuhusu huyo fisadi.

Yani Lowassa hakuwahi kuzungukwa na watu wasafi. Kweli fisadi ni fisadi tu.
Umeona eee....!
 
Ina maana tangu 2013 uchunguzi ndio umekamilika sasa...au kwa kuwa kurukia upande mwingine....

ukiona hivyo faili alikuanalo mzee wa tabasam, lilishafanyiwa uchunguzi kitambo tu, labda alitaka kuliacha kwa 7bu ya ukafiki na sasa ameamua kulifanyiakazi kama sio yeye.
 
Back
Top Bottom