makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Kulikuwa na kina Fredrick Chiluba wa Zambia. Jamaa alipoingia Ikulu akaanza mbwembwe za kuwashughulikia wapinzani kwa kutengeneza sheria kandamizi kama inavyofanya CCM ya Magufuli.
Lakini siku ya siku alipotolewa Ikulu sheria zilezile alizotunga kuwaminya Wapinzani zikaanza kumtafuna. Hivo CCM endeleeni tu na udikteta wa kuminya Demokrasia, Mungu yupo na Mungu siyo Magufuli wala Abdulla wala Kiwete wala CCM, iko siku inakuja na kibao kitageuka na hakika mtalia na kusaga meno.