njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,258
- 7,101
nimekuelewalegitimate source
Also police should be fair and justice. No one should incriminated without justifiable cause and at end Justice should prevail in all spheres!Nipashe very biased. Ukisoma ni kwamba jamaa kaonewa tayari. Kwanin wasisubiri taarifa ya polisi? Inawasaidia nini kuliyumbisha jeshi la polisi au kuingiza siasa kwenye utendaji? Wasubiri halafu watahoji
Eti uchunguzi uliofanywa na gazeti. Tusubiri uchunguzi wa polisi. Nadhani wale ma IT 191 wanabanwa nyeti zao huko jela watakua wanalopoka sana. Ngoja tuone movie inaendelea
Also police should be fair and justice. No one should incriminated without justifiable cause and at end Justice should prevail in all spheres!
Asante Mungu kutuepusha na lile fisadi, asante sana JK kuhakikisha fisadi lile halipiti kuanzia kwenye kamati ya maadili, wala kamati kuu, mbona tungekoma!
chupuchupu gasi yetu
Kwa mujibu wa Mtoa taarifa ( Gazeti la Nipashe) alikuwa yupo kwenye Team Lowassa tangu akiwa CCM. Na kwa maelezo yako Msami amekamatwa kwa kujiingiza katika siasa wakati siyo Mtanzania, kwa nini iwe sasa na siyo tangia Lowassa akiwa CCM? Je kuna jambo nyuma ya pazia?jamani msichanganye mambo , huyo jamaa ni mkenya alepewa kibali kuishi tz kwa lengo la kufanya biashara na sio siasa.
ndio maana wamemkamata,
na yeyey hausiki tkt escrow hata kidogo.
Nipashe very biased. Ukisoma ni kwamba jamaa kaonewa tayari. Kwanin wasisubiri taarifa ya polisi? Inawasaidia nini kuliyumbisha jeshi la polisi au kuingiza siasa kwenye utendaji? Wasubiri halafu watahoji
Kazi ndo inaanza watanyooka tu mwaka huu wajiandae kukimbia nchi dadadeq zao
[/QUOTE I stand to be corrected thank
Haujui Kiingereza!
They are doing their job. Why asking for fairness while no one has been charged?Also police should be fair and justice. No one should incriminated without justifiable cause and at end Justice should prevail in all spheres!
Kwa mujibu wa Mtoa taarifa ( Gazeti la Nipashe) alikuwa yupo kwenye Team Lowassa tangu akiwa CCM. Na kwa maelezo yako Msami amekamatwa kwa kujiingiza katika siasa wakati siyo Mtanzania, kwa nini iwe sasa na siyo tangia Lowassa akiwa CCM? Je kuna jambo nyuma ya pazia?
[/QUOTE I stand to be corrected thank
Haujui Kiingereza!
Bado unakosea tu!
jamani msichanganye mambo , huyo jamaa ni mkenya alepewa kibali kuishi tz kwa lengo la kufanya biashara na sio siasa.
ndio maana wamemkamata,
na yeyey hausiki tkt escrow hata kidogo.
Kwa mujibu wa Mtoa taarifa ( Gazeti la Nipashe) alikuwa yupo kwenye Team Lowassa tangu akiwa CCM. Na kwa maelezo yako Msami amekamatwa kwa kujiingiza katika siasa wakati siyo Mtanzania, kwa nini iwe sasa na siyo tangia Lowassa akiwa CCM? Je kuna jambo nyuma ya pazia?