Usitujumlishe sisi wetu lowasa atumjui uyo mropoka ovyo
hapo nashindwa kuelewa weledi wa jeshi letu maalim seifu wa zanzibar aliyejumlisha na kutangaza yupo mitaani hawa walio jumlisha wanaswekwa ndani au polisi zanzibar tofauti na huku au kunalingine nyuma ya pazia
Uzuri ni kuwa hatatoka polisi akaishia jela, atakwenda mahakamani na mahakama itasikiliza kesi na itayatolea hukumu mashtaka kulingana na sheria, na pia atakuwa na mawakili wa utetezi.
Hivyo polisi sio mwisho, na kwa hiyo sioni sababu ya watu kuanza kupiga kelele humu utadhani hukumu ya kwenda jela imeshatolewa tayari.
They are doing their job. Why asking for fairness while no one has been charged?
Tutulie kwanza mbona watu roho zinatuenda mbio. Upande mmoja tunataka maendeleo na usalama, upande mwingine tunalalama. The guy hasn't been implicated in anything yet.
ameshaachiwa yuko uraiani bashir mama ndio mtu wa mombasa kakulia kwa wajomba
Kuwa Makini Dogo Hapa Sio fb, badoo wala Instagram.... Maisha Yako ni Muhimu sana.. Next time u have to be careful
amekulia kwa wajomba kenya ila ni mtanzania chunguza vizuri utabaini
Acha ushamba, unafikiri ni sawa kumkamata mtuhumiwa na kutelekeza gari yake kwenye eneo la tukio?meaning sehemu aliyokamatiwa?
Yupo nyumbani au yupo wapi mkuu ebu tujuze kwa uhakika zaidi
Katika wakenya 1000 wanaoishi Tanzania ni mmoja tu atasema yeye ni mkenya waliobaki watakwambia ni wamasai au watu wa mkoa wa Mara Ila wamesomea Kenya nimeshawazoea
ameachiwa tayari ndio taarifa za mchana huu.......huyu jamaa edo kuomba udhamini akiwa ccm amezunguka nae mikoa yote hawakuona kua ni mkenya......akiwa cdm ndio kawa mkenya
Not true at all. Even in the so called democratic states, we have witness renditions at the highest level. By the way, he was arrested and quizzed by the police. It was an allegation. Someone has to be arrested and questioned and not detained.That is called detention without trial,its unlawfully, its one of the elements of a dictatorial regime.
Sheria haikumuona kipindi akiwa ccm?Hakuna cha jambo nyuma ya pazia wala nini! Huyo jamaa siyo raia wa TZ na sheria hairuhusu Mgeni kujihusisha na siasa, basi! Kama alifanya akiwa CCM au sijui ukawa Lowasa chadema hiyo siyo ishu, ishu hapa ni kwamba amevunja sheria ya nchi, basi! mengine yooote porojo tu!
Kenya Uganda ni ndugu zetu na kampuni zao nyingi zipo hapa ikiwemo bank huu Ubaguzi na chuki za ajabu Sidhani kama utasaidia Nchi kupiga Hatua kimaendeleo.
Huu ni uchochezi. Hiyo misuli yako hakuna anayehitaji. Tujenge nchi na kuacha majungu kwa vitu visivyo na ufaham. Hivi ikitokea ukapotea ndugu zako wa karibu hiyo misuli itakusaidia nini. Tumia akili. Ukiweza jifungie chumbani payuka mwenyewe ndio uje jamviniMimi namwambia Lowassa na Mbowe, CCM watatumaliza tukiendelea kukaa kimya. They are coming on us with everything, we better act now while we still have the muscle.
Not true at all. Even in the so called democratic states, we have witness renditions at the highest level. By the way, he was arrested and quizzed by the police. It was an allegation. Someone has to be arrested and questioned and not detained.