Kazi ndo inaanza watanyooka tu mwaka huu wajiandae kukimbia nchi dadadeq zao
Inamaana wakati wa ile kashfa huyu ndo alikuwa boss Stanbic?
Eti uchunguzi uliofanywa na gazeti. Tusubiri uchunguzi wa polisi. Nadhani wale ma IT 191 wanabanwa nyeti zao huko jela watakua wanalopoka sana. Ngoja tuone movie inaendelea
Alidhani atakua gavana wa BOT.imekula kwake,bado tunamtaka bosi wao nae akamatwe.
Inamaana wakati wa ile kashfa huyu ndo alikuwa boss Stanbic?
Kazi ndo inaanza watanyooka tu mwaka huu wajiandae kukimbia nchi dadadeq zao
Naona hapa umekiri jamaa anahusika na madudu fulani ila unasema wako na wenzake basi tuache sheria ifuatweSwali lako lina element za kinafiki, na bila shaka unaweza ukajidhani kuwa umeongea jambo la maana. Nikukumbushe kuwa, asilimia kubwa ya maovu yanayohusika na hicho unachochagiza yamefanywa na watu ambao tunawataraji kuwemo kwenye serikali inayoundwa. Kama una dini kaa tafakari!
Nipashe very biased. Ukisoma ni kwamba jamaa kaonewa tayari. Kwanin wasisubiri taarifa ya polisi? Inawasaidia nini kuliyumbisha jeshi la polisi au kuingiza siasa kwenye utendaji? Wasubiri halafu watahoji