Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

Duuu...tuone na leo kama babu mamvi atampigia simu igp
maana jamaa kwa mikwara
 
Last edited by a moderator:
Kuna mambo yanayoendelea na yasipochukuliwa kwa umakini wananchi watalipuka. Muda utasema
 
Kuna mambo yanayoendelea na yasipochukuliwa kwa umakini wananchi watalipuka. Muda utasema

Labda Wananchi wa Kishumundu na Kibosho lkn WatanZania waliobakia wana Imani na Magufuli kwanza hata wale waliompigia kura fisadi Lowasa wameanza kujutia kura zao baada ya kuona kasi ya Raisi JPM!
 
Nipashe very biased. Ukisoma ni kwamba jamaa kaonewa tayari. Kwanin wasisubiri taarifa ya polisi? Inawasaidia nini kuliyumbisha jeshi la polisi au kuingiza siasa kwenye utendaji? Wasubiri halafu watahoji

Matambala ya Mengi na kuspeculate, we fikiria polisi hawajatoa taharifa lakini nipashe washafanya uchunguzi wao ..mnaanzaje kutoa upande wenu wakati hamna taharifa ya kutoka polisi
 
kama uchaguzi umeisha na uishe na mambo yake lakini hii tabia ya kuendeleza uhasama utaliingiza taifa kwenye msuguano. ndio maana mi nasemaga hii nchi hatuwezi kuogopana mpaka tuchapane kwanza japo miezi mitatu tu
 
Swali lako lina element za kinafiki, na bila shaka unaweza ukajidhani kuwa umeongea jambo la maana. Nikukumbushe kuwa, asilimia kubwa ya maovu yanayohusika na hicho unachochagiza yamefanywa na watu ambao tunawataraji kuwemo kwenye serikali inayoundwa. Kama una dini kaa tafakari!
Zaidi ya kuonyesha ukosefu wa mawazo, hujaongea point.
 
Na kazi iendelee. Salaam mwanakijiji naskia Mkapa kamuomba Magu amuchie Sumay adili nae sahani moja.
 
Last edited by a moderator:
Matambala ya Mengi na kuspeculate, we fikiria polisi hawajatoa taharifa lakini nipashe washafanya uchunguzi wao ..mnaanzaje kutoa upande wenu wakati hamna taharifa ya kutoka polisi
Serikali yetu ndio ilimulea vibaya mmiliki wa IPP media,nafikiri huu ndio muda muhafaka wa kuambiwa/pewa mipaka atambue kwamba uhuru husio na mipaka ni chanzo cha vurugu.
 
Labda Wananchi wa Kishumundu na Kibosho lkn WatanZania waliobakia wana Imani na Magufuli kwanza hata wale waliompigia kura fisadi Lowasa wameanza kujutia kura zao baada ya kuona kasi ya Raisi JPM!

Kasi gani yakuzulula ovyo au
 
kama uchaguzi umeisha na uishe na mambo yake lakini hii tabia ya kuendeleza uhasama utaliingiza taifa kwenye msuguano. ndio maana mi nasemaga hii nchi hatuwezi kuogopana mpaka tuchapane kwanza japo miezi mitatu tu

Hahahaaa tuchapane kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom