Yawahi tandale sinza uzuriSTL 8699 limeingia sokoni, tupeane connection wadau.
Yawahi tandale sinza uzuriSTL 8699 limeingia sokoni, tupeane connection wadau.

Hapo minimum matengenezo ni 15m, zidisha Kwa Gari zoteGharama ya boneti moja tu ya shangingi ni millions of coins bado mifumo mingine ...big loss kwa serikali
Yani CCM iwafanye wanyonge halafu waitegemee iwapiganie kwenye huo unyonge?. Amka usingizini ewe chawa wa CCM .watanzania wanyonge walio wengi wanaona uwepo wa makonda ndugu
Unaniangushawatanzania wanyonge walio wengi wanaona uwepo wa makonda ndugu
RAS anafuata Nini kwenye msafara wa MC wa CCM?. Bora angekuwa Katibu Mkuu au Mwenyekiti wa chama. Sasa MC anatembeza kwenye msafara mavumbini mpaka ajali? Watumie akili siku nyingine.Kwahiyo hapo ulitaka usikie, waloumia ni Mwenyekiti wa CCM, katibu wa CCm, na viongozi wa CCM??.
Wee hujaona kua na Katibu Tawala Mkoa ' RAS ' kajeruhiwa? Ulitaka katibu tawala Mkoa, atumie usafiri wa Chama???.
Wewe bado mtoto huwezi kunielewa. Nakuacha Kama ulivyo. Halafu makonda ana nyomi gani?. Mikutano inaandaliwa Wana CCM wanasafirishwa na watu kuandikiwa mabango ya kumsifu makonda. Pole pole mtaelewa tu.Weee huna akili, unahisi Kifo Cha Mzee Lowassa, kingepunguza nyomi la Makonda kama angeamua kuendelea na Mikutano?.
Hata hivo, Makonda ni mwenye Hekima, Busara, na Mwenye Akili, kama Kiongozi wa Chama, anajua wajibu wake wa Kichama ni upi .
Narudia usilolijua ni sawa na usiku wa Gizakamanda mzalendo mwanzisha mwendo makonda tuponae bega kwa bega chini ya mwamvuli wa ilani ya chama cha mapinduzi
Una mafuta ya kutosha?STL 8699 limeingia sokoni, tupeane connection wadau.
Jaribuni bahati yenu.Tunamaliza Kuzika tunarudi Kupaambana.ajali hazitaturudisha nyuma.
Ina maana kifo Cha mwanachama mwenzake hakimhusu!!?Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
======
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuza.
View attachment 2900908
Upuuzi upo CCM . Au hujaona malalamiko ya wananchiWewe ni Lipuuzi kwelikweli , hivi huo uchadema, Huwa mnafunzwa kua wapuuzi tu??.
11 February 2024
Sululu, Masasi
Mtwara Tanzania
MSAFARA WA MWENEZI, MAGARI ZAIDI YA 13 YAGONGANA BAMPA TO BAMPA
Kutoka Sululu katika kata ya Wilaya ya Masasi Mjini katika Mkoa wa Mtwara, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,578
View: https://m.youtube.com/watch?time_continue=2&v=vm15PZ5uvMA
Na akilazimisha kwenda lolote baya sana limkute hukoHii ni signs mojawapo kuwa huyo jamaa hapaswi kuhudhuria msiba wa mzee Lowasa
Wanachi walipa Kodi.hasara kwa nani hapo?
Aondoke moja kwa moja. Hatutaki maigizoNa akilazimisha kwenda lolote baya sana limkute huko