Yesu akusaidie usirudi matopeni tena[emoji1787]Kuna baadhi ya fani ukitoka umetoka kurudi tena ni mchakato mwingine mpya kabisa
Tutashinda zaidi ya kushinda..[emoji1752][emoji1545]Yesu akusaidie usirudi matopeni tena[emoji1787]
Polisi nyuma na mbele wanalinda nn kwan wamebeba mabilioni 😃 mgambo tu anaongoza na pikipiki mbele kwishaKabisa wangewekwa kwenye yu tong na gari nyuma ya polisi na mbele ya polisi baasi.
Hivi nani katuloga!!??View attachment 2371266