myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Hii hatari. Hapo unaweza kukuta shule haina madawati...
Wameenda kuhamasisha uchangiaji.
Wameenda kuhamasisha uchangiaji.
Hili kutatua hili inaweza kupendekezwa wote wawe wanakwenda pale kwa awamu Yaani Asubuhi, Mchana na kesho yake ili magari yasionekane yamerundikwa pale kwa wakati Mmoja. Yaani we acha tu!Kwanini hamkuwaweka kwenye basi km kule kwa bibi juzi.
hahahaha
umasikini hasa wa fikra ni kitu kibaya sna wandugu , imagine hapo na maposho wamejilipaKwanini hamkuwaweka kwenye basi km kule kwa bibi juzi.
Hapa msemo wa kiswahili wa mayai hayawekwi kapu moja ndipo unapotuumiza!Hao walikuwa wanaenea kwenye Yutong moja tu.
Tungeokoa fedha na kuachana na Tozo
Wapuuzi tu hao!Hapa msemo wa kiswahili wa mayai hayawekwi kapu moja ndipo unapotuumiza!
Nilitegemea wangejifunza kutoka UK hapo ilibd wapande coaster moja tu na pikipiki mbili za escortumasikini hasa wa fikra ni kitu kibaya sna wandugu , imagine hapo na maposho wamejilipa
Hao walimu wapo vizuri😂😂😂Hayo magari mengi ni ya walimu jamani tuwe wazarendo.
[emoji38][emoji23]Hayo magari mengi ni ya walimu jamani tuwe wazarendo.
...Na Mav8 yakabaki Ofisini! Kwa mipango hii tungeishinda Tozo!?Hapo lilitosha Yu tong moja wote wangeenea hao.