The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Hapo kuna DC,DED,Afisa Elimu,Mhandisi kwa uchache..Hivi nani katuloga!!??View attachment 2371266
Hapo kuna DC,DED,Afisa Elimu,Mhandisi kwa uchache..Hivi nani katuloga!!??View attachment 2371266
Nakumbuka kuna mahali uliwahi kuandika hivi naukumbuka sana huu usemi una ukweli asilimia zoteNarudia tena, Waafrika bado hawajawa binadamu sawa-sawa.
Gari 16 au 17 hivi[emoji848][emoji2827]Hivi nani katuloga!!??View attachment 2371266
Coaster moja wangetosha na kubakiKwanini hamkuwaweka kwenye basi km kule kwa bibi juzi.
Ndo fosi akaunti hiyo!Hivi nani katuloga!!??View attachment 2371266
Mbona wastaafu wengine huitwa kazini haki inapokua ngumu, kwenye sekta hiyo ya kwenu hamna utaratibu huo labda?Nimestaafu mkuu
coaster 2 au Tata MOja wote wangeenea kwa kweliKwanini waaiende na coaster moja au mbili
Ova
Watuwekee na msafara WA kukagua kibanda Cha million 11 tulinganisheKafa
Kuna baadhi ya fani ukitoka umetoka kurudi tena ni mchakato mwingine mpya kabisaMbona wastaafu wengine huitwa kazini haki inapokua ngumu, kwenye sekta hiyo ya kwenu hamna utaratibu huo labda?
Ni wakorofi kweli, hawataki.Kwanini hamkuwaweka kwenye basi km kule kwa bibi juzi.