Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,412
- 283,619
[emoji38][emoji38][emoji38]Hivi nani katuloga!!??View attachment 2371266
[emoji38][emoji38][emoji38]Hivi nani katuloga!!??View attachment 2371266
Aiseee !!Ni Bashungwa huyu na Sifa zake za Kihaya.
Majengo yote hadi Mortury yanaitwa Bashungwa
Umemaliza siku yangu ya leo ha ha ha.Ni wakorofi kweli, hawataki.
Hivi si waliambiwa wabane matumizi?Hivi nani katuloga!!??View attachment 2371266
Watakula wapiHivi si waliambiwa wabane matumizi?
Sas ungekataje Kona Hapo [emoji23][emoji23]Hapo lilitosha Yu tong moja wote wangeenea hao.
Bado hatujafika civilized stageNilitegemea wangejifunza kutoka UK hapo ilibd wapande coaster moja tu na pikipiki mbili za escort
Wale vyakwao maana hawavuji jasho kama sisiWatakula wapi
Aisee honoraria wasipeweNi wakorofi kweli, hawataki.
Naunga mkono hoja na mikono yote.na miguu yoteKwanini hamkuwaweka kwenye basi km kule kwa bibi juzi.
Teeena wangeinjoi sanaCoaster moja wangetosha na kubaki
Hapo lilitosha Yu tong moja wote wangeenea hao.
Yaani Raisi anapandishwa .kwenye basi moja na maraisi wengineHapo lilitosha Yu tong moja wote wangeenea hao.
KabisaKabisa wangewekwa kwenye yu tong na gari nyuma ya polisi na mbele ya polisi baasi.
Ni kama genge la mbwa mwituCCM ni ukoo wa panya.
Ndiyo maana wenye akili tutaendelea tu kukwepa kodi kila pale nafasi itakapo patikana.Hivi nani katuloga!!??View attachment 2371266