Mimi nimwajiriwa katika kampuni mojakubwa hapatanzani iliyoko arusha tatizolinakuja kwenye kukatwa mshahara kwakiwango kikubwa sana kulinga nisha na mshahara unakata masaa kwakiwango malipo ya over time jenisawa.

Mkuu hata hiyo overtime inakatwa kodi. Ndio Pay As You Earn (PAYE) hiyo.Maana yake kila ukipatacho kwenye mshahara wako lazima kilimwe kodi.take home=(gross salary -((vat12-14%)-(nssf10%))+over time
sasa wewe unapunjwa nn/ au unakatwa nini?
Mkuu hata hiyo overtime inakatwa kodi. Ndio Pay As You Earn (PAYE) hiyo.Maana yake kila ukipatacho kwenye mshahara wako lazima kilimwe kodi.
Zamani kulikuwa na Income Tax ambapo makato yalikuwa kwenye Basic Salary tu. Allowance nyingine zilikuwa hazikatwi kodi. Sasa ikaonekana watu wana Basic Salary ndogo lakini ma-allowance kibao ambayo yanazidi mshahara. Ndo ikaletwa hiyo sheria ya PAYE ili kuwabana wafanyakazi.