measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,406
Mmm..... sielewi kama kuna tiketi za kwenda huko.
Huwa watu wanafikaje huko?
Mmm..... sielewi kama kuna tiketi za kwenda huko.
wanadamu hao ni wa hapo jf?
Nimesikia linazungumziwa sana humu, lakini sijui hata linahusu nini....................!
Naomba mwenye Link yake anitupie ili nijue yanayojiri humo, kama ni sayansi kimu au elimu ya kujitegemea nipate kujifunza na mie.
nime seach mtandao unasema not reachable
Eeeeeee wanapigana.......kama baba akimpiga mama...daa hafu ngoja niende sasa.kwa hiyo ndio wanapigana! mh! sababu ya kupigana ni nini! ningelijua hilo jukwaa ningewasuluhisha.....
wewe ni mkubwa?
sababu ya kupigana ni nini hasa!
We BT! swali gani hili unauliza?
Mtu keshamaliza maneno hapo!
Akisema keshamuuliza bintie Canta, hakupata ufumbuzi !
Mwenye binti, unamuuliza kama ni mkubwa? Au vipi!
My self i'm agree with Mtambuzi, that anythin' being conceal from normal sight course curiosity with much desire!
ni kweli kabisa mkuu, mie nashikwa na udadisi kweliWe BT! swali gani hili unauliza?
Mtu keshamaliza maneno hapo!
Akisema keshamuuliza bintie Canta, hakupata ufumbuzi !
Mwenye binti, unamuuliza kama ni mkubwa? Au vipi!
My self i'm agree with Mtambuzi, that anythin' being conceal from normal sight course curiosity with much desire!
ni kweli kabisa mkuu, mie nashikwa na udadisi kweli
ninao watoto na wajukuu humu