kaangalie chuoni wametoa full allocations
We......!!! Kumbe umepanga!!Mkuu nashukuru kwa kuniongezea siku za kuishi maana nimecheka mno mpaka wapangaji wenzangu wameamka
Ndio mkuu.Bado nasota na madesaWe......!!! Kumbe umepanga!!
Ndo yale yale, majinga majinga tu.Huelewi kinachoendelea kuwa mpole soma thread uielewe usikurupuke