Shida nini, ya kuhitaji kusaidiwa?Nilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.
Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki kuingilia vitu alivyonikuta navyo. Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda, ninatamani tununue kiwanja tujenge nyumba ya pamoja lakini mwenzangu haoni umuhimu huo.
Ina maana hujaelewaaa au dharauShida nini, ya kuhitaji kusaidiwa?
Aaaa weweee huyo mume maarabu au mpeembaaHapa anapaona kwake kwasababu nyumba amejenga yeye lakini tunaishi na familia yake yote hata madada walioolewa wamo ndani na waume zao.
Achana nae njoo Kwangu, yote utakayo nitafanya ata ukitaka twende kuishi US tutaendaNilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.
Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki kuingilia vitu alivyonikuta navyo. Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda, ninatamani tununue kiwanja tujenge nyumba ya pamoja lakini mwenzangu haoni umuhimu huo.
Karibu mwaka wa kumi sasa
Linanikera siku nyingi leo nimeamua kufungukaTen years??? You cant be serious sky,halafu ghafla tu leo ndiyo umeona tatizo? Face it,or leave it!! Hivyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nashangaa aiseeHivi umefeli wapi?we mbona mjanja sana hii imekutokeaje sasa?
Shida iko wapi?
Naomba nikupe pole kwa yanakukuta, hili ni tatizo la mwanamke kuolewa na mtoto wa mama.Nilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.