Msaada wenu wa mawazo tafadhali, Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda

POOOOOOOOLE, yani nimeandika in capital letter kuonyesha msisitizo, aisee hata mimi siwezi khaaaa, huwa nawaonea huruma sana wanawake wanaoolewa alafu wanaenda kuishi ukweni au mwingine unakuta wanapewa kiwanja humo humo walipojenga wazazi wa mwanaume mjenge muishi wote, hapana kwa kweli, raha ya wakwe wakae mbali muwatembeleee tu kwa mwezi mara 1 lakini pika pakua nao uuuuuwi hakuna rangi hutaona
 
Nilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.

Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki kuingilia vitu alivyonikuta navyo. Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda, ninatamani tununue kiwanja tujenge nyumba ya pamoja lakini mwenzangu haoni umuhimu huo.
Kama umechoka kuishi kwa wakwe badala ya kuishi kwako nashauri wakati mnaandaa mikakati ya kujenga nyumba yenu mpange nyumba muishi maisha ya kujitegemea!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
Nilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.

Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki kuingilia vitu alivyonikuta navyo. Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda, ninatamani tununue kiwanja tujenge nyumba ya pamoja lakini mwenzangu haoni umuhimu huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aina ya wanawake wa namna yako ni vigumu kudumu kwenye ndoa. Wewe ni sehemu ya familia ya mumeo, na kama nyumba ni yake wewe ndio mama mwenye nyumba. Zaa watoto wa kutosha usimike utawala wako. Nyumba si nyumba kama sio familia, weka watoto watano uone utakavojinafasi. Ila mpaka umekuja humu inaonekana wewe ni mbishi sana na unamuumiza jamaa kichwa. Maisha ni magumu sana sasa hivi, kama unacomfort zone usiiache kwasababu ya fantasies. Acha ubishi, muamini mumeo na angalia mazuri ya upande wa mumeo.
Dah, ushauri huu umeenda shule. Hapo mgeni ni huyo mama mkwe sio wewe. Yeye ndio arudi kwake. Mfanyie vituko hadi akimbie teh teh teh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ubinafsi. Msikilize mumeo.

Back
Top Bottom