unakautaalamu ka engineering braza.Haka katekinolojia hapa kwetu sijui kama kameshafika, ila ukiwa mjanja sna tembelea watalamu wa welding wakuunganishie mabati na wewe utafte chesisi la Peugeot ndio uingie nacho mtaani na bidhaa zako.
Zipo nyingi
Ha ha ha watu wamepigwa kule acha, bongo hii usanii mwingi no one is faithful kuna mada humu ya jamaa kupigwa mashine kule COETNenda udsm pale engineering upande wa workshops,hasa workshop ya mechanical kuna vizee vizoefu vitadesign na kukujengea...price itakua cheap tu
Mkuu karibu tufanye biashara... Sisi Autoguru tunatengeneza, mradi tu useme specifications mfano size na interior kuwe na vitu gani then utapatiwa bei. 0655674900 kwa mawasilianoMkuu mm pia naitaka wazo langu ni kununua Suzuki Carry then kutengenezea hiyo box IQRA90
View attachment 441684
Mkuu karibu tufanye biashara...... Sisi Autoguru tunatengeneza mradi tu utupe specifications mfano size na interior kuwe na vitu gani then utapatiwa bei. Tunapatikana kinondoni manyanya 0655674900 kwa mawasiliano
Nashukuru mkuu kwa kutambua kazi zetu, hakika Autoguru tutawatengenezea.kuna watu wanajiita autoguru waone wakutengenezeewako kinondoni ni garage ya magari na wanafanya welding
Hahaha itabidi mnipe ile kazi ya marketing mliotangaza wenye whatsap groups maana nimewatangaza bureNashukuru mkuu kwa kutambua kazi zetu, hakika Autoguru tutawatengenezea.
Haina shida, we tafuta tenda ukipata contact me 0655674900 tufanye kazi.Hahaha itabidi mnipe ile kazi ya marketing mliotangaza wenye whatsap groups maana nimewatangaza bure