Msaada wapi naweza pata tablet nzuri kwa Dar es Salaam

Sababu soko lake limeshafeli, Hakuna hela. Sema kwa ambao wapo sokoni bado kama Samsung, Apple na Amazon wanaweka specs kali kwa bei rahisi.

Mfano
-iPad mpya inakuja na A13 soc kwa bei ya $300, simu rahisi yenye A13 ni iPhone se inayouzwa $400. Pia base model ni 64/4Gb.

-amazon fire 10 HD inayouzwa hadi $80 ina full HD display, cortexA72 cores na mambo mengi ambayo huyapati kwenye simu.

-pia Tab S7 uki compare na S20 ama note 20 ni rahisi zaidi wakati zinakupa values kubwa.

hapo nimeelewa
 
mkuu wapi wanauza amazon fire hd 10 kwa usd 80!??
 
Kama ni matumizi ya kawaida tu unaweza agizishia online Amazon fire HD, huwa Mara kwa Mara zinashuka bei around $40 mpaka 80 hivi, pengine mpaka inakufikia mkononi ikawa around laki 2 mpaka 3 na nusu.

Ni tablet nzuri matumizi ya kawaida, weakness yake kubwa ni 32bit kuna baadhi ya games na app kubwa haziingii.

Kwa Samsung mpya ni Tab A ya 2019 Sema ni low end Sanaa. Uzuri wake ni 4g tab.

Hii kibongo bongo ni chini ya laki 4.

Alternative nyengine ni kununua used unapata iPad mini, iPad za kawaida, tab s series etc
Mkuu Chief-Mkwawa, kuna hizi Tablets nimeziona kwenye mtandao, zipo sana Saudi Aarabia, Indonesia, Dubai na India kidogo.
Zinaitwa S-COLOR, wana versions tofauti kama U100, U300, U500, etc, Android 7.1, 10.1 inch display, 4GB/64GB, 4G LTE+WiFi, Double line, triple camera and other features.
Lkn kwenye specs zake hazioneshi kama inatumia SD, MTK au nyinginezo.
Naomba kujua;
Kama upo familiar na hii brand,
Strenghs na weaknesses za hizi tabs,
Kama hii Android version inaweza kuwa upgraded to later versions.

NB: Wanasema ni chinese products lkn zinapatiakana zaidi Dubai.
 
Ni kama Tecno tu mkuu na hawaandiki specs kote, Ram na storage hazina maana kama zipo slow na Cpu ipo slow, wameandika tu quad-core hujui kama ni cortex A7 ama A53, na hakuna reviews za watu wala ushahidi mwengine.

Angalau ungekua Una mtu anayo unamfahamu Arun Cpu z tujue specs.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom