Kama ni kweli hujawahi, wewe ni malkia wa huyo mtu atakaye kuoa. Sasa, kama huyu jamaa ni wa kweli na anakutaka kweli kweli. Mwambie akuheshimu mpaka ndoa yenu. Ila usiikawize saana kwani huyo si bikra hivyo ataweza kwenda hukoo halafu akajiletea gonjwa likamharibu. Mwambie umemwekea hiyo zawadi mpaka akuchukue.
Lakini kama ni ya mchina, utakoma sikutishii. Akija gundua kuwa weye ni kiwembe hakuna rangi hutaona. Atakudharau maisha yako yota.
Leo ukiivua chupi kwake kabla, harusi ni ndoto pia kwani kwake utakuwa mshamba hiyo ndo akili ya wanaume.