Mzunguko wangu siuelewi msaada please.

Ntemii

JF-Expert Member
May 25, 2022
289
513
Wasalaam

Naomba niende moja kwa moja.

Nina tatizo linalonisumbua sasa zaidi ya mwaka.

Mzunguko wangu wa hedhi umekua na shida..kwanza niweke kumbukumbu kipindi cha nyuma nilishawahi kitumia sindano hizi za kuzuia mimba za miezi mitatu nilitumia kama mara mbili nikaacha ambapo jumla ni miezi 6.

Sasa baada ya kuaacha nilikaa muda kama miezi mitatu bila kuingia hedhi hivyo zilipo kuja kutoka zilitoka mfululizo zaidi ya wiki 2.

Zaikakata..niakendelea nikawa naigia kila mwezi ila zikawa zinatoka za rangi ya brown na ndani ya siku 4 zinakata..miezi mingine zinatoka hata siku 2 tu zinakata.

Baadae tena ile hali ya kutoka hedhi kwa muda wa wiki na zaidi inajirudia..ikikata nakuwa normal tu ila ndio hivyo zinatoka za rangi ya brown sio nyekundu kabisa.

Tumbo haliumi sana wala halikati..nimeenda hospitali kuonana na gynecologist nikafanyiwa vipimo..vya uzazi niko normal ila shida ilikua ni hormone imbalance napo nilipewa dawa.

Ila bado tatizo linaendelea kama nilivyoeleza hapo juu hali hii imekua ikinitesa sana..hasa ukizingatia kwa sasa nipo kwenye ndoa na natafuta mtoto.

Naombeni msaada katika hili.
 
Hali hii inatokea kwa wanawake wengi wanaotumia vijiti na sindano za uzazi wa mpango. Hata wanaopata mtoto wa kwanza wakatumia njia hizi husubiria hadi miaka 6-10 ili mambo yarudi kama awali. Ushauri: mabinti achana na uzazi wa mpango kama hujazaa; mleta uzi vumilia huku ukifanya mazoezi, kula mchicha wa kienyeji, kula ugali wa mhogo ukichanganya na mtama, kula viazi vitamin, njugu mawe, viazi vikuu, kuku wa kienyeji. Ukiendekeza vyepe na wali mweupe usitegemee mafanikio siku za karibuni.
 
Mi nadhani umemaliza kila kitu.
 
Asante kwa ushauri nimeupokea..
 
Pole sana jitahidi ule vyakula vya asili ili kurudisha mwili.

Pia shauri wanawake wenzako wasipende kutumia hayo madawa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wasalaam

Naomba niende moja kwa moja.

Nina tatizo linalonisumbua sasa zaidi ya mwaka.

Mzunguko wangu wa hedhi umekua na shida..kwanza niweke kumbukumbu kipindi cha nyuma nilishawahi kitumia sindano hizi za kuzuia mimba za miezi mitatu nilitumia kama mara mbili nikaacha ambapo jumla ni miezi 6.

Sasa baada ya kuaacha nilikaa muda kama miezi mitatu bila kuingia hedhi hivyo zilipo kuja kutoka zilitoka mfululizo zaidi ya wiki 2.

Zaikakata..niakendelea nikawa naigia kila mwezi ila zikawa zinatoka za rangi ya brown na ndani ya siku 4 zinakata..miezi mingine zinatoka hata siku 2 tu zinakata.

Baadae tena ile hali ya kutoka hedhi kwa muda wa wiki na zaidi inajirudia..ikikata nakuwa normal tu ila ndio hivyo zinatoka za rangi ya brown sio nyekundu kabisa.

Tumbo haliumi sana wala halikati..nimeenda hospitali kuonana na gynecologist nikafanyiwa vipimo..vya uzazi niko normal ila shida ilikua ni hormone imbalance napo nilipewa dawa.

Ila bado tatizo linaendelea kama nilivyoeleza hapo juu hali hii imekua ikinitesa sana..hasa ukizingatia kwa sasa nipo kwenye ndoa na natafuta mtoto.

Naombeni msaada katika hili.
Pole sana dawa n miziz ya mpera na mizizi ya mbaazi tu kata vdgovdgo chemsha kunywa 1×2 kikombe kwa sku tatu Mungu ataksaidia utaopna na kufrahi 100%

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam

Naomba niende moja kwa moja.

Nina tatizo linalonisumbua sasa zaidi ya mwaka.

Mzunguko wangu wa hedhi umekua na shida..kwanza niweke kumbukumbu kipindi cha nyuma nilishawahi kitumia sindano hizi za kuzuia mimba za miezi mitatu nilitumia kama mara mbili nikaacha ambapo jumla ni miezi 6.

Sasa baada ya kuaacha nilikaa muda kama miezi mitatu bila kuingia hedhi hivyo zilipo kuja kutoka zilitoka mfululizo zaidi ya wiki 2.

Zaikakata..niakendelea nikawa naigia kila mwezi ila zikawa zinatoka za rangi ya brown na ndani ya siku 4 zinakata..miezi mingine zinatoka hata siku 2 tu zinakata.

Baadae tena ile hali ya kutoka hedhi kwa muda wa wiki na zaidi inajirudia..ikikata nakuwa normal tu ila ndio hivyo zinatoka za rangi ya brown sio nyekundu kabisa.

Tumbo haliumi sana wala halikati..nimeenda hospitali kuonana na gynecologist nikafanyiwa vipimo..vya uzazi niko normal ila shida ilikua ni hormone imbalance napo nilipewa dawa.

Ila bado tatizo linaendelea kama nilivyoeleza hapo juu hali hii imekua ikinitesa sana..hasa ukizingatia kwa sasa nipo kwenye ndoa na natafuta mtoto.

Naombeni msaada katika hili.

Mtoa mada, zingatia sana maelezo ya ujumbe kwa mchangiaji number 2.

Msingi wa mvurugiko ni pale unapotumua sisindano u vikiti au dawa za homoni kwenye kupanga uzazi. Matokeo ya homoni hizi kuonekana kuwa nyingi mwilini, matokeo yake husababisha mwili kuacha hali ya kawaida ya kutoa homoni husika. Hapo unakua umeingilia mamlaka ya mwili ya mwenendo wake kihomoni na pia ustawi wa afya.

Unapositisha uchukuaji wa homoni husika, mwili huahangaa na huanza upya zoezi la kujifunza kutoa homoni kwa mfumo wake wa asili, hapo ndo huwa tunaona mauzauza kidogo. Baada ya kipindi fulani mwili hurudi katika hali ya kawaida.

Lakini kwa kipindi hicho cha kurejea vyema mwili huitaji zaidi kupata mlo kamili na hitaji kubwa kwenye matunda, mbogamboga, madini na Protini kama ilivyoelezwa hapo juu.

Mwitikio wa mwili kurudi sawa hutegemea na maumbile ya kila mmoja, ila hitaji muhimu ni afya bora na mazoezi mepesi. Pia kuondoa au kujikinga na stress za kusubiria matokeo.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom