asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Acheni hizo nyie! 26rys kuwa na bikira wapo sana, au ni kwa kuwa nyie mnakaa maisha ya kimjini mjini mnaharibu watoto wa watu kwa kuwahonga chips mayai. Njooni huku kijijini kwetu muone uumbaji wa Mungu, watoto wazuri hawajaguswa. Mimi mwenyewe nilimuoa wife akiwa na 27yrs na alikuwa sildi. Siku 7 analia maumivu ya kutolewa usichana wake.
shabu na mchina nazo zimejaa siku hizi + usanii ndiyo balaa tupu.............. ila hongera mkuu, cha muhimu ni akili yako imekubali kuwa wife alikuwa sildi.