Msaada wapendwa- bikra inanitesa

Msaada wapendwa- bikra inanitesa

Ivi bado kuna possibility ya kupata dada mwenye mzigo hapa bongo kwa umri huo kweli?? kama ni kweli du huyo mshkaj is the luckiest guy in the world wengine hadi tunazeeka tunakutana na mitumba tu!!!
 
Point,nakuunga mkono 100% usikubali kusex before marriage,usipo sikiliza haya tunayokwambia
it will be a big mistake u have made in ur life

Virgin is not a dignity but is the loose of opportunity
 
Usijaribu hata siku mdogo wangu kumvulia mwanaume nguo yako ya ndani
na kisha kumpatia hiyo kitu ambacho Mungu alikiweka kwa madhumuni ya ndoa
na sio tamaa kama vijana wa siku hizi wanavyofanya nakushauri siku utakapodhubutu
kufanya hivyo ujue ndo mwisho wako wa ndoa kutokuwepo kwani huyo kijana
ANAKUPIMA tu anataka kujua kweli wewe ni mwaminifu au mtu anayejiheshimu au la?

USHAURI ; ndugu yangu usifanye hivyo ni dhambi huweizi fanya tendo la ndoa nje ya ndoa
kwani Mungu aliweka tendo hilo ndani ya ndoa ili kufurahishana, kupendana na
kuhitajiana mkkiwa mke na mume na si vinginevyo bestito ACHA DHANA POTOFU
WANAYOSEMA VIJANA WENGI SIKU HIZI KUWA ETI TUTEST JAPO KIDOGO
TUONE TUNDA LIKOJE WAJIDANGANYA BESTITO HATA KAMA ATAKULAZIMISHA
KATAA NA KIMBIA KAMA YUSUFU ALIVYOKIMBIA DHAMBI HIYO KWA MKE WA
POTIFA USITHUBUTU KUMTENDA MUNGU WAKO DHAMBI KUU NAMNA HIYO
UTAANGAMIA NA KUJILETEA MATATIZO MAKUBWA MAISHANI MWAKO

Hbarini za asubuhi wapendwa, hope mnawndelea vema na shughuli zenu za kila siku.

Back to topic,

Mimi ni msichana nina miaka 26, nina mchumba ambaye tupo kwnye process za ndoa ila tumekubaliana kufanya mapenz kabla ya ndoa.(The rule of shake well before use is applied)

Tatizo mimi ni bikra sijawahi kabisa kusex maisha yangu yote. Sasa naogopa kweli kufanya mapenzi, nakuwa na hofu sana hadi siku tukilala wote inakuwa ni vita kitandani. Tunapendana sana na hali hii ya kuogpa kusex inamkosesha raha na hataki kulazimisha anataka niwe huru.

Naombeni ushauri jamani nifanye nini niondokewe na huu woga maana nimekuwa nawaza tu nitaumia nikisex.

Naombeni msaada wa mawazo jamani, hii hali ni kawaida au nina tatizo?

Asanteni sana.
 
Kama kweli wewe ni bikra ya ukweli ( sio ya kichina),,,

USIKUBALI KUFANYA MAPENZI KABLA YA NDOA..

Yaani umevuka vishawishi vya teanage bila kumegwa,, hadi unafika 26 umejitunza then unashindwa kumalizia miaka michache iliyobaki ukamilishe rekodi yako ya kukatwa bikra usiku wa harusi yako..

Nasema rekodi sababu wewe ni mmoja katika wasichana laki 1 wenye bikra kwa umri wako wa 26.

MIMI MWENYEWE FISI LAKINI KWA MWANAMKE KAMA WEWE SIKUMEGI.. Na Nakupa salute zako kwa hilo na USIKUBALI narudia tena USIKUBALI na tena tena nakwambia USIKUBALI KUVUA CHUPI HADI USIKU WA NDOA..

Hiyo zawadi ya ushindi mwambie Sikamona utampa kwenye USiku wa ndoa yenu
Kweli kabisa! Na hii itampa heshima kubwa katika ndoa.Na siku ya ndoa hakika woga huo utakwisha kwani kisaikolojia atkuwa tayari ameshajiridhisha kuwa anafanya kitu halali na kwa wakati sahihi!
 
Daaaah.......! mamaaa.......!!! Papuchi original hiyo mpaka mate yanadondoka
 
Acheni fix hizo mika 26 hats masista hawana sembuse.
 
Hbarini za asubuhi wapendwa, hope mnawndelea vema na shughuli zenu za kila siku.

Back to topic,

Mimi ni msichana nina miaka 26, nina mchumba ambaye tupo kwnye process za ndoa ila tumekubaliana kufanya mapenz kabla ya ndoa.(The rule of shake well before use is applied)

Tatizo mimi ni bikra sijawahi kabisa kusex maisha yangu yote. Sasa naogopa kweli kufanya mapenzi, nakuwa na hofu sana hadi siku tukilala wote inakuwa ni vita kitandani. Tunapendana sana na hali hii ya kuogpa kusex inamkosesha raha na hataki kulazimisha anataka niwe huru.

Naombeni ushauri jamani nifanye nini niondokewe na huu woga maana nimekuwa nawaza tu nitaumia nikisex.

Naombeni msaada wa mawazo jamani, hii hali ni kawaida au nina tatizo?

Asanteni sana.
Usiogope utazoea tuu, lakini unacho takiwa kujua lazima mwenza wako umpe haki yake.
 
Hbarini za asubuhi wapendwa, hope mnawndelea vema na shughuli zenu za kila siku.

Back to topic,

Mimi ni msichana nina miaka 26, nina mchumba ambaye tupo kwnye process za ndoa ila tumekubaliana kufanya mapenz kabla ya ndoa.(The rule of shake well before use is applied)

Asanteni sana.

Bikra 26yrs old ya kichina! Haya bana hongera yako!
Mfanyeni taaratibuuuuuuuuuuuuu! Ukitafuta KY-Jelly itakusaidia kuepuka michubuko na kurahisisha penetration!
 
Hbarini za asubuhi wapendwa, hope mnawndelea vema na shughuli zenu za kila siku.

Back to topic,

Mimi ni msichana nina miaka 26, nina mchumba ambaye tupo kwnye process za ndoa ila tumekubaliana kufanya mapenz kabla ya ndoa.(The rule of shake well before use is applied)

Tatizo mimi ni bikra sijawahi kabisa kusex maisha yangu yote. Sasa naogopa kweli kufanya mapenzi, nakuwa na hofu sana hadi siku tukilala wote inakuwa ni vita kitandani. Tunapendana sana na hali hii ya kuogpa kusex inamkosesha raha na hataki kulazimisha anataka niwe huru.

Naombeni ushauri jamani nifanye nini niondokewe na huu woga maana nimekuwa nawaza tu nitaumia nikisex.

Naombeni msaada wa mawazo jamani, hii hali ni kawaida au nina tatizo?

Asanteni sana.
Wenye bikra hawaongeibZzx
Labda unaongelea bikra ya kabaang
 
Miaka 26 bikra ilishajitokea siku nyingiii. Bikra inaisha kwa umri ( ngozi inakua weak hatimae inachanika) siku uki-sex utaona kama damu itatoka. Kinachokutesa ni uoga kwakua hujawahi kufanya mapenzi na watu wa hivi performance zao hua si nzuri hata ndani ya ndoa
 
!
!
maama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...miaka 26!????
Mungu wangu, itakuwa ishaziba tayari loh loh loh

Ndivyo mnavodanganyana kuwa mtu asipofanya itaziba,uhuni mtupu!!!!!!!!!!!!!!!!! acha kudanganya watu.

Dada subiri ndoa, ukifanya kabla ya kuolewa usahau hiyo ndoa, na utakuja kujuta.
 
duuh labda uweke picha kwanza ndo ninaweza kukupa ushauri vizuri
 
Kama kweli wewe ni bikra ya ukweli ( sio ya kichina),,,

USIKUBALI KUFANYA MAPENZI KABLA YA NDOA..

Yaani umevuka vishawishi vya teanage bila kumegwa,, hadi unafika 26 umejitunza then unashindwa kumalizia miaka michache iliyobaki ukamilishe rekodi yako ya kukatwa bikra usiku wa harusi yako..

Nasema rekodi sababu wewe ni mmoja katika wasichana laki 1 wenye bikra kwa umri wako wa 26.

MIMI MWENYEWE FISI LAKINI KWA MWANAMKE KAMA WEWE SIKUMEGI.. Na Nakupa salute zako kwa hilo na USIKUBALI narudia tena USIKUBALI na tena tena nakwambia USIKUBALI KUVUA CHUPI HADI USIKU WA NDOA..

Hiyo zawadi ya ushindi mwambie Sikamona utampa kwenye USiku wa ndoa yenu

DADA FUATA USHAURI HUO HAPO JUU. SAFI SANA.
DONT DO IT. IM A MAN AND A FORMER MVP. MOST VALUABLE PLAYA. TUNAHESHIMU SANA WANAWAKE WA NAMNA YAKO. NA NI KAMA HAWAPO TENA. SUBIRI MPK NDOA. WENZAKO WENGI WALITAMANI HALI YAKO :thumbup::thumbup::thumbup:😀
 
usitende dhambi ya uasherati umevumilia miaka 26 miaka michache uolewe unatenda dhambi kama ni mpenzi wako na anaharaka afunge ndoa utakuwa ni mwanamke umemheshimu sana Mungu naye atakuheshimu hvyo vumilia sio miaka mtafunga ndoa
 
Asilimia 43 ya wanawake hua wanakua na bikra ( kwa maana ya utando wa ngozi) at puberty age. Soma mwenyewe hapa

Past neonatal stage, the diameter of the hymenal opening (measured within the hymenal ring) is widening by approximately 1 mm for each year of age.[7] During puberty the hymenal opening can also be enlarged by tampon, menstrual cup use, pelvic examinations with a speculum, regular physical activity or sexual intercourse.[1] Once a girl reaches puberty, the hymen tends to become very elastic. In one survey, only 43% of women reported bleeding the first time they had intercourse, indicating that the hymens of a majority of women are sufficiently opened.[1][5]
 
Back
Top Bottom