Hapa sasa nahitaji msaada wa Mungu tu

jogijo

JF-Expert Member
Mar 29, 2019
260
490
Wadau habari,

Mimi nina jambo linanitatiza sana, sana, sijui nimekua dhaifu au ni vipi. Jamani kuna kipindi nilikuja hapa kuleta uzi wa mm kuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja kazini, dada huyu tulijikuta katika mahusiano pasipo ku-plan kwa sababu ya changamoto zake na familia yake. Yaani mumewe.

Katika Uzi ule nilieleza hali ilivokua, namnaa anaishi na namna mm naishi na mke wangu. Lakini pia nikaeleza kuwa nimeamua kumuacha kabisa na ilikua imepita siku 2 pasipo kuongea naye.

Tatizo lililopo sasa hivi ni kuwa, sikumudu kuendelea kumweka mbali ukizingatia tunafanya kazi wote, hivo tuliendelea na mahusiano yetu Kama kawaida.

Ndugu zangu, hali niliyonayo sasa, nimechoka kabisa kuishi haya maisha, sijawahi kuwaza kuwa mwanaume wa hivi, lkn mnajua mwanamke akikutaka hakukosi na inachagizwa na Hali ya ndoa yake. Mumewe ni very rude. Yaani hajari kabisa.

Sasa hapa ninawaza naweza vipi kumwacha huyu? Nimefanya majiribio karibu manne lkn yamefeli, tunaishia kununiana na kublockiana, lkn mm moyoni nimechoka, yaani Nina pretend lakini sijui mwisho ni nini.

Sijui kama hii hali ni kwangu tu au kuna wanaume wamepitia hili na walishindaje? Au nimekua dhaifu, but she was my friend alinishirikisha Hali ya ndoa yake na ilikua wanaachana na mumewe and I sorted it wakaendelea. Kila mara nikimwambia msimamo wake Ni kuwa ninatumia madhaifu ya familia yake kumwadhibu. Ninatesa kwa sababu ameamua kunipenda. Daaah naumia sijui naipitaje hii njia.

Lkn pia, ni mdada mzuri kwakweli, kuhusu gharama nadhan yeye anaingia gharama nyingi sana kuliko mm. Lkn kwenye upendo naona ninakwama maana kwakweli simpendi, kwa Sasa nipo kwa sababu ya huruma ya ndoa yake na nisionekane natake advantage kukuumiza.

Msaada kama kuna mtu kapita hapa.

Nawasilisha.
 
Mkuu heshimu ndoa yako,unaanze kuwa na mahusiano na mke wa mwenzio tena unafahamu.sababu ulizozitoa ni dhaifu ww unampenda hyo mwanamke ,kumbuka yale usiyopenda kutendewa na usimtendee mwenzio .nawe utagongewa mkeo utakuja kulalamika malipo hapa hapa duniani.
 
Mwanamke anaonekana anataka kukazwa na wewe, ndo maana anakuganda.

Hizi ndoa hizi...majanga ni mengi.
 
Kama unakiri kufanya majaribio mara nne ya kumuacha na ukashindwa, je unadhani hapa utashaurina nini?

Na kama umeandika heading kwamba unahitaji msaada wa Mungu, kwakweli niku assure kwamba Mungu hasikilizagi mambo ya kijinga kama hayo yako.
 
Kwa vile unatembea na mke wa mtu. Haijalishi wapo ktk mgogoro au la, mke wa mtu ni mke wa mtu tu. Kwahiyo sina cha kukushauri zaidi ya kukusihi uwe unatembea na kilainishi kila wakati. Kama hauna access navyo nishtue nikuletee KY zipo nyingi hapa kazini kwangu.
 
Mbona mambo easy Sana mkuu fanya mambo mawili na chagua 1

1. Mshirkishe mume wake mwambia umemchoka mkewe ila andika wosia kabisa lolote linaweza kutokea

2. Tusaidie namba ya huyo mchepuko wako humu ss tutamueleza njia hii n salama kwa afya yako

Utanishukuru baadae ila namba 1 ukifanya hata Leo unakuwa umemaliza

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Fanya maamuzi magumu mkuu
Umekosea Sana kuanzisha mahusiano na mke wa mtu ni hatari Sana
Unashindwa kufanya maamuz kutokana na ukaribu mlionao mpo too close otherwise unamuonea huruma uyo bibie unashindwa kumuacha , fanya maamuzi huepuke ilo janga lkn jtaid umuache kimasihara
 
Wadau habari, mm Nina Jambo linanitatiza Sana Sana, sijui nimekua dhaifu au Ni vipi. Jmn Kuna kipindi nilikuja hapa kuleta uzi wa mm kuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja kazini, Dada huyu tulijikuta katika mahusiano pasipo ku plan kwa sababu ya changamoto zake na familia yake. Yaan mumewe.

Katika Uzi ule nilieleza Hali ilivokua, namnaa anaishi na namna mm naishi na mke wangu. Lkn pia nikaeleza kuwa nimeamua kumuacha kabisa na ilikua imepita siku 2 pasipo kuongea naye.

Tatizo lililopo Sasa hivi Ni kuwa, sikumudu kuendelea kumweka mbali ukizingatia tunafanya kazi wote, hivo tuliendelea na mahusiano yetu Kama kawaida.

Ndugu zangu, Hali niliyonayo sasa, nimechoka kabisa kuishi haya maisha, sijawahi kuwaza kuwa mwanaume wa hivi, lkn mnajua mwanamke akikutaka hakukosi na inachagizwa na Hali ya ndoa yake. Mumewe Ni very rude. Yaani hajari kabisa.

Sasa hapa ninawaza naweza vipi kumwacha huyu? Nimefanya majiribio karibu manne lkn yamefeli, tunaishia kununiana na kublockiana, lkn mm moyoni nimechoka, yaani Nina pretend lkn sijui mwisho Ni nn!. Sijui Kama hii Hali Ni kwangu tu au Kuna wanaume wamepitia hili na walishindaje? Au nimekua dhaifu, but she was my friend alinishirikisha Hali ya ndoa yake na ilikua wanaachana na mumewe and I sorted it wakaendelea. Kila Mara nikimwambia msimamo wake Ni kuwa ninatumia madhaifu ya familia yake kumwadhibu. Ninatesa kwa sababu ameamua kunipenda.... Daaah naumia sijui naipitaje hii njia.

Lkn pia, Ni mdada mzuri kwakweli, kuhusu gharama nadhan yeye anaingia gharama nyingi Sana kuliko mm. Lkn kwenye upendo naona ninakwama maana kwakweli simpendi, kwa Sasa nipo kwa sababu ya huruma ya ndoa yake na nisionekane natake advantage kukuumiza.

Msaada Kama Kuna mtu kapita hapa.
Nawasilisha.
Bado unampenda wewe...... kwahio ulivyosasuluhisha ndio ukaamua kujilipa sio....
 
Wanawake wengi sana (sio wote) wakijawa na tamaa zao za mwili atakwambia Mume wangu blah blah rude, irresponsible, not caring, sijui hanifikishi, sijui ana kisukari...... anything of that nature ujue huyo ni mhuni tu
 
kijana usioe
kataa ndoa
ndoa ni utapeli
tapatalk_1497596213874.jpg
 
Wadau habari, mm Nina Jambo linanitatiza Sana Sana, sijui nimekua dhaifu au Ni vipi. Jmn Kuna kipindi nilikuja hapa kuleta uzi wa mm kuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja kazini, Dada huyu tulijikuta katika mahusiano pasipo ku plan kwa sababu ya changamoto zake na familia yake. Yaan mumewe.

Katika Uzi ule nilieleza Hali ilivokua, namnaa anaishi na namna mm naishi na mke wangu. Lkn pia nikaeleza kuwa nimeamua kumuacha kabisa na ilikua imepita siku 2 pasipo kuongea naye.

Tatizo lililopo Sasa hivi Ni kuwa, sikumudu kuendelea kumweka mbali ukizingatia tunafanya kazi wote, hivo tuliendelea na mahusiano yetu Kama kawaida.

Ndugu zangu, Hali niliyonayo sasa, nimechoka kabisa kuishi haya maisha, sijawahi kuwaza kuwa mwanaume wa hivi, lkn mnajua mwanamke akikutaka hakukosi na inachagizwa na Hali ya ndoa yake. Mumewe Ni very rude. Yaani hajari kabisa.

Sasa hapa ninawaza naweza vipi kumwacha huyu? Nimefanya majiribio karibu manne lkn yamefeli, tunaishia kununiana na kublockiana, lkn mm moyoni nimechoka, yaani Nina pretend lkn sijui mwisho Ni nn!. Sijui Kama hii Hali Ni kwangu tu au Kuna wanaume wamepitia hili na walishindaje? Au nimekua dhaifu, but she was my friend alinishirikisha Hali ya ndoa yake na ilikua wanaachana na mumewe and I sorted it wakaendelea. Kila Mara nikimwambia msimamo wake Ni kuwa ninatumia madhaifu ya familia yake kumwadhibu. Ninatesa kwa sababu ameamua kunipenda.... Daaah naumia sijui naipitaje hii njia.

Lkn pia, Ni mdada mzuri kwakweli, kuhusu gharama nadhan yeye anaingia gharama nyingi Sana kuliko mm. Lkn kwenye upendo naona ninakwama maana kwakweli simpendi, kwa Sasa nipo kwa sababu ya huruma ya ndoa yake na nisionekane natake advantage kukuumiza.

Msaada Kama Kuna mtu kapita hapa.
Nawasilisha.
Siku zote mwanaume unapotaka kufanya maamuza hasa magum kwa manufaa mapana ya mustakhabadhi wa kesho na leo yako hutakiw kuangalia nyuma wala kuwa na huruma hvyo.....tena kwa mke wa mtu .....bro bora uonekane katli
 
Wadau habari, mm Nina Jambo linanitatiza Sana Sana, sijui nimekua dhaifu au Ni vipi. Jmn Kuna kipindi nilikuja hapa kuleta uzi wa mm kuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja kazini, Dada huyu tulijikuta katika mahusiano pasipo ku plan kwa sababu ya changamoto zake na familia yake. Yaan mumewe.

Katika Uzi ule nilieleza Hali ilivokua, namnaa anaishi na namna mm naishi na mke wangu. Lkn pia nikaeleza kuwa nimeamua kumuacha kabisa na ilikua imepita siku 2 pasipo kuongea naye.

Tatizo lililopo Sasa hivi Ni kuwa, sikumudu kuendelea kumweka mbali ukizingatia tunafanya kazi wote, hivo tuliendelea na mahusiano yetu Kama kawaida.

Ndugu zangu, Hali niliyonayo sasa, nimechoka kabisa kuishi haya maisha, sijawahi kuwaza kuwa mwanaume wa hivi, lkn mnajua mwanamke akikutaka hakukosi na inachagizwa na Hali ya ndoa yake. Mumewe Ni very rude. Yaani hajari kabisa.

Sasa hapa ninawaza naweza vipi kumwacha huyu? Nimefanya majiribio karibu manne lkn yamefeli, tunaishia kununiana na kublockiana, lkn mm moyoni nimechoka, yaani Nina pretend lkn sijui mwisho Ni nn!. Sijui Kama hii Hali Ni kwangu tu au Kuna wanaume wamepitia hili na walishindaje? Au nimekua dhaifu, but she was my friend alinishirikisha Hali ya ndoa yake na ilikua wanaachana na mumewe and I sorted it wakaendelea. Kila Mara nikimwambia msimamo wake Ni kuwa ninatumia madhaifu ya familia yake kumwadhibu. Ninatesa kwa sababu ameamua kunipenda.... Daaah naumia sijui naipitaje hii njia.

Lkn pia, Ni mdada mzuri kwakweli, kuhusu gharama nadhan yeye anaingia gharama nyingi Sana kuliko mm. Lkn kwenye upendo naona ninakwama maana kwakweli simpendi, kwa Sasa nipo kwa sababu ya huruma ya ndoa yake na nisionekane natake advantage kukuumiza.

Msaada Kama Kuna mtu kapita hapa.
Nawasilisha.
Pia imagine hyo angekuwa mkeo ungemshaur nn anayekugongea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom