!
!
Maama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...miaka 26!????
Mungu wangu, itakuwa ishaziba tayari loh loh loh
Hbarini za asubuhi wapendwa, hope mnawndelea vema na shughuli zenu za kila siku.
Back to topic,
Mimi ni msichana nina miaka 26, nina mchumba ambaye tupo kwnye process za ndoa ila tumekubaliana kufanya mapenz kabla ya ndoa.(The rule of shake well before use is applied)
Tatizo mimi ni bikra sijawahi kabisa kusex maisha yangu yote. Sasa naogopa kweli kufanya mapenzi, nakuwa na hofu sana hadi siku tukilala wote inakuwa ni vita kitandani. Tunapendana sana na hali hii ya kuogpa kusex inamkosesha raha na hataki kulazimisha anataka niwe huru.
Naombeni ushauri jamani nifanye nini niondokewe na huu woga maana nimekuwa nawaza tu nitaumia nikisex.
Naombeni msaada wa mawazo jamani, hii hali ni kawaida au nina tatizo?
Asanteni sana.
Kama kweli wewe ni bikra ya ukweli ( sio ya kichina),,,
USIKUBALI KUFANYA MAPENZI KABLA YA NDOA..
Yaani umevuka vishawishi vya teanage bila kumegwa,, hadi unafika 26 umejitunza then unashindwa kumalizia miaka michache iliyobaki ukamilishe rekodi yako ya kukatwa bikra usiku wa harusi yako..
Nasema rekodi sababu wewe ni mmoja katika wasichana laki 1 wenye bikra kwa umri wako wa 26.
MIMI MWENYEWE FISI LAKINI KWA MWANAMKE KAMA WEWE SIKUMEGI.. Na Nakupa salute zako kwa hilo na USIKUBALI narudia tena USIKUBALI na tena tena nakwambia USIKUBALI KUVUA CHUPI HADI USIKU WA NDOA..
Hiyo zawadi ya ushindi mwambie Sikamona utampa kwenye USiku wa ndoa yenu
anataka kututia tu genye huyo.hujamsoma?Bikira bikira au zile za kariakoo kwa mwarabu? Anavyoogopa utadhan anakatwa mguuu! Sasa tukushauri nini? Kama ni bikira akuache akishakuoa ndio akubikili.
nitumie namba yako nitakupa dawa fulani hivi hutaogopa!!
ha ha ha ha na mkojo anautolea wapi km imeziba
nitumie namba yako nitakupa dawa fulani hivi hutaogopa!!
Ukikubali kumegwa tu basi ujue ndoa itaota mbawa.
Wapo wanawake wanaojitunza na kufikia umri huo wakiwa bado hawajaguswa na mwanaume.Mie nina wasi wasi " hiyo bikira at 26?!" sijui! Labda ya kichina.