Msaada wana JF.

Msaada wana JF.

ya facebook nipe mim mkuu nina shida nazo kwel kila kitu ntabadil natumia kusambaza habar magrup ya nje sio bongo PM pliz
 
ya facebook nipe mim mkuu nina shida nazo kwel kila kitu ntabadil natumia kusambaza habar magrup ya nje sio bongo PM pliz
Tengeneza yako usambazie
 
duuuuh sawa aisee ila uwe na majibu mazur kwani ukisema hapana unapunguza nyama ya kichwa au
Kwan nimekujibu vibaya wala labda kufikili kwako pamoja na akili zako zimekutuma hivyo
 
Naomba kuelekezwa namna ya kufuta Account za Facebook, Instangram pamoja na Twittet.
Google swali moja baada ya jingine mfano how to delete Facebook account?
Nk...
Ila kwa uzoefu wangu hizo account huwa hazifutiki bali zinakuwa suspended tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom