Msaada wana JF niko kwenye wakati mgumu

Msaada wana JF niko kwenye wakati mgumu

Vizuri kama usalama upo kiongozi. Nna kalikizo kasiku mbili kurudisha morali kidogo.

Unajua najifunza vitu vingi sana kwenye huu uzi.
Jambo la kwanza, kila mmoja ana matatizo na shida zake za kutosha hata kama hasemi au hawaambii watu.

Pili, sio kila unaemsaidia atakuja kukusaidia kwa kiwango ulichojitoa kwake. Ukiwa na huo mtazamo, utaishia kufadhaika na kugombana na watu bila sababu.

Mwisho, mtafuta suluhu na mfumbuzi wa matatizo yako ni wewe mwenyewe. Hakuna mtu ataipa shida yako kipaumbele au kuielewa vizuri kuliko wewe inayokukabili. Tuliza akili kutafuta suluhu stahiki.

Tatizo moja linaweza kuwapata watu wawili tofauti, mmoja akajiua, mwingine akaamua kwenda barabarani akawa ombaomba, mwingine akatafuta mtu akamweleza shida yake apate mtaji ajishughulishe na chochote kuliko kuwa tegemezi.

Ukiamua kumsaidia mtu msaidie tu kama una nafasi. Ubinadamu siku hizi mdogo. Mungu anajua atakavyoweza kukulipia hata kama sio kwako, kuna namna utalipwa tu, wema hauozi.

October man hiyo namba inaandika jina gani? Unaweza ni PM.

RRONDO uwe na siku njema kapteni.

sawa mkuu
 
Yaani wewe una boom unakuja kulia lia humu.
Mwanachuo gani wewe mwandiko kama kuku unadonyoa donyoa tu.
Referrence tu umeshindwa kuandika kiufasaha,hakuna herufi kubwa wala ndogo,nukta hakuna.
Kwa kweli shindia tu scones wewe ni janga kwa taifa.
 
We jamaa wewe, watu tunaongelea kitu cha kuweka uzito tumboni at least uweze kunywa maji wewe unaleta anasa? Brown bread huko ni kwenye option unaogopa kolestro na kisukari. Hapa tunaongelea slesi unaipaka parachichi..
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nilimquote huyu ndugu alieongelea mkate kwenye friji
 
Kweli ukiwa Muongo uwe na Kumbukumbu.
Mods apigwe Ban tapeli huyu
Screenshot_2018-05-10-11-08-55.jpg
 
...we huna shida we...unaishi kwa mikate!!!Ina maana Una hela we....hiyo mikate inanunuliwa....
..huna hela?lakini Una simu uliyotumia kutuma post hapa...

...ushauri...rudi kijijini kwako ukalime...kule chakula hutanunua....ukiona kurudi kijijini huwezi...basi uza tako....sioni namna ya kukusaidia zaidi tapeli we.....
 
Ila nawe jifunze kuandika kwa mpangilio mzuri,yaani nimemaliza kusoma na dicloper imefuata kinywani.anyway,i wish you Lucky
Nilishawahi kumwambia dogo ajifunze kuandika kwa ufasaha nikaishia kuambiwa sijasoma hahah.
 
Yaani wewe una boom unakuja kulia lia humu.
Mwanachuo gani wewe mwandiko kama kuku unadonyoa donyoa tu.
Referrence tu umeshindwa kuandika kiufasaha,hakuna herufi kubwa wala ndogo,nukta hakuna.
Kwa kweli shindia tu scones wewe ni janga kwa taifa.
hahaa...wabongo mnaweza sababisha mtu akajinyonga....mimi na uchizi wangu wote huu nilionao .huwa najitahidi kupona kila napoonaga scenario za misaada kama hizi
 
mwandiko mapungufu ya wengi ila tunajitaidi tu, uwanachuo sio kujua kila kitu kumbuka mwandiko tunajifunza shule ya msingi sio elimu ya juu hivyo isiwe njia ya kutumia reference kwa elimu ya juu
Chuo Gani unasoma
 
Daah Pole Sana ndugu MUNGU yupo usihofu utakula nini wala utavaa nini, mtegemee yeye peke yake.
wewe mtie mwenzio ujinga "" atakufa na njaa kweli ...Mungu huyo huyo unaye mnadi hapa ..ndiye anaye waacha watu wasomalia waendelee kufa na njaa pasipo kujali maumivu wanayo yapitia ""
asijali atakula na kuvaa nini ""? wakati Mungu alishampa akili "" kitendo cha Mungu kuwapa watu akili "" kina maanisha kuwa alishamalizana nao "" so wewe endelea kumtumaini "". kisha baada ya mauti akakuulize ulizitumia vipi akili zako kwaajili ya ustawi wa maisha yko
 
Salaam wandugu,tunakuwa pamoja katika mada mbalimbali ila naandika uzi huu kwa kweli katika maisha hakuna hali ngumu niliyowai kupitia kama hii, kiukweli nasoma chuo nina boom ila ingekuwa sina mkopo hii familia yangu isingeweza kunisomesha chuo, kiukweli nina boom ila boom langu linatumika katika vitu mbalimbali mfano kulipa ada, nyumbani kidogo na pia kutokana na hali ngumu ya maisha nafanya uwekezaji kidogo kwa kujibana hivohivo, ila semister hii kwa kweli boom lamgu limekuwa na matatizo sijalipata, nimeishi maisha ya shida nimekopa, nilipewa nguo mpya nimeuza, nimekula mikate mchana jioni nk.

Kiukweli wana jukwaa mtu akiguswa akanikopesha hata 20,000/= au 10,000/= itakuwa imenisogeza hapa nilipo nakula mikate mchana na usiku na hapa napoandika uzi huu nimebaki na scones mbili tu kesho sijajua, nimewakopa watu hadi imekuwa fedhea sasa. atakayeguswa anisaidie inisogeze siku.

Sio na ombaomba ila kwa wakati wa sasa sina aitenative yoyote

namba hiyo 0784931814 airtel money kwa atayeguswa
dogo hiyo kawaida cc tushapiga basi ndefu hapo bibo na hall7,wewe tajiri mpaka unamikate tena miwili.
 
Back
Top Bottom