October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
- Thread starter
- #121
Kibaya una smartphone na unaweka bundle....uza simu pesa ifanye kua mtaji
ujaelewa andiko langu vizuri kimsingi sina na sijawai kuwa na tatizo la mtaji katika maisha kutokana na biashara ninazo zitageti kwasababu pesa zangu ninazo zipata ni active money, zinaingia kwa wakati wake na kuusu biashara ungekaa na mimi ndio ungenijua vizuri nikikuonesha list ya biashara na muda wake wakuzifanya, tukija kwenye hali hii iliyonikuta ni ya muda sio kwamba ndio maisha yangu ila sababu kubwa iliyonipelekea kuja hapa ni kutokuwa na altenative, imagine tu mwenyewe uishi sehemu furani kipindi cha miezi miwili bila pesa.
naendelea kukusisitizia smartphone ni kila kitu kwa mwanachuo.