hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,391
- 80,370
safi sanaKwa ninapoishi vyuo vingi nauli yake haizidi 500. Akija kula akiamua atabeba, ikifika wakati nauli imekua shida tutaangalia tunatatuaje hilo swala.
safi sanaKwa ninapoishi vyuo vingi nauli yake haizidi 500. Akija kula akiamua atabeba, ikifika wakati nauli imekua shida tutaangalia tunatatuaje hilo swala.
,baki na maisha yako...we huna shida we...unaishi kwa mikate!!!Ina maana Una hela we....hiyo mikate inanunuliwa....
..huna hela?lakini Una simu uliyotumia kutuma post hapa...
...ushauri...rudi kijijini kwako ukalime...kule chakula hutanunua....ukiona kurudi kijijini huwezi...basi uza tako....sioni namna ya kukusaidia zaidi tapeli we.....
What happened to Forex?duu aya
Kweli ukiwa Muongo uwe na Kumbukumbu.
Mods apigwe Ban tapeli huyuView attachment 772126
Upo chuo na unaandika hivyo."kufuria" "utaperi". Mmhhhaha sasa forex ina uhusiano gani duu, mimi kwenye maisha yangu najaribu vitu mbalimbali mkuu hata forex, uwekezaji na kuna biashara kibao nina mpango wa kuzifanya ila hii haimaanishi kuwa siwezi kufuria au kuwa na wakati mgumu, hata wewe kama kijana inabidi ujaribu vitu mbalimbali sijaona utaperi wangu ukowapi hapo.
boom lako limepata matatizo kivipi tuanzie apo kwanzahalingumu ndugu muda mwingine inakuja automatically haizuiliki, ila kibaya sina kwa kupata hata 5000 ukimfuata wakaribu anasema hali ngumu, madeni kibao ndio maana nakopa sio kwamba hali ya kudumu ila uwezi shinda na njaa mpaka muda itapokaa sawa
Unatuambia mnapiga Mapesa,vipi mapesa yamekuwa Uselesshaha sasa forex ina uhusiano gani duu, mimi kwenye maisha yangu najaribu vitu mbalimbali mkuu hata forex, uwekezaji na kuna biashara kibao nina mpango wa kuzifanya ila hii haimaanishi kuwa siwezi kufuria au kuwa na wakati mgumu, hata wewe kama kijana inabidi ujaribu vitu mbalimbali sijaona utaperi wangu ukowapi hapo.
Akaunti iliungua?haha sasa forex ina uhusiano gani duu, mimi kwenye maisha yangu najaribu vitu mbalimbali mkuu hata forex, uwekezaji na kuna biashara kibao nina mpango wa kuzifanya ila hii haimaanishi kuwa siwezi kufuria au kuwa na wakati mgumu, hata wewe kama kijana inabidi ujaribu vitu mbalimbali sijaona utaperi wangu ukowapi hapo.
Hahah aisee hilo neno kumpuna limenifurahisha sana,hahahHahaha forekisi imempuna boom lote
Duh.... Watu mnafukua makaburiVipi ULIUNGUZA akaunti kule kwenye FOREX? Maanake nilisoma kama ulikuwa unapiga sana hela....!
Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki
...we huna shida we...unaishi kwa mikate!!!Ina maana Una hela we....hiyo mikate inanunuliwa....
..huna hela?lakini Una simu uliyotumia kutuma post hapa...
...ushauri...rudi kijijini kwako ukalime...kule chakula hutanunua....ukiona kurudi kijijini huwezi...basi uza tako....sioni namna ya kukusaidia zaidi tapeli we.....
Nilishawahi kumwambia dogo ajifunze kuandika kwa ufasaha nikaishia kuambiwa sijasoma hahah.
Unasoma chuo kuandika hujui ....unasomea nini????
Kwa nini utumie boom kuanzisha mradi? Hapo kwenye matumizi ya nyumbani pia naomba ufafanue.
Honestly speaking, ungekuwa na Verified ID ingekusaidia sana kuonekana transparent.
MUNGU akusaidie ndugu.wewe mtie mwenzio ujinga "" atakufa na njaa kweli ...Mungu huyo huyo unaye mnadi hapa ..ndiye anaye waacha watu wasomalia waendelee kufa na njaa pasipo kujali maumivu wanayo yapitia ""
asijali atakula na kuvaa nini ""? wakati Mungu alishampa akili "" kitendo cha Mungu kuwapa watu akili "" kina maanisha kuwa alishamalizana nao "" so wewe endelea kumtumaini "". kisha baada ya mauti akakuulize ulizitumia vipi akili zako kwaajili ya ustawi wa maisha yko