choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,577
zikusaidie nini?au kipi hujaelewa kwa mleta mada?
Kuelewa nlichomaanisha unapaswa uwe mzoef wa JF.
zikusaidie nini?au kipi hujaelewa kwa mleta mada?
Yaani wewe una boom unakuja kulia lia humu.
usikajifanye ujui nilichoandika wewe uwe nalo boom usiwe nalo itadepend na economic background yako, kuna watu awana hilo boom lakini still wanaishi maisha mzuri kuliko wenye boom nimejitaidi kukuelezea still unajionesha kuwa ni mgumu wa kuelewa, kama wewe sio muhusika upitie pembeni huu uzi sijakwita, kama unaweza kuandika nakutoa majibu kunya kwenye hiyo 10,000/= je mtu akikujia na shida kubwa aya maisha yana safari wewe ujifunze
Okee so baada ya siku 7 kuisha utaanza tena kutafuta nyingine. Ni vzr ungekaa chini ufanye biashara ndogo kulingana na mazingira uliyopo ambayo itakuwa inakuinguzia pesa kidogo.
Yaani wewe una boom unakuja kulia lia humu.
Mwanachuo gani wewe mwandiko kama kuku unadonyoa donyoa tu.
Referrence tu umeshindwa kuandika kiufasaha,hakuna herufi kubwa wala ndogo,nukta hakuna.
Kwa kweli shindia tu scones wewe ni janga kwa taifa.
Demi msaidie mtoto wa mwanamke mwenzio jamaniUkipewa 10,000 leo itaisha baada ya siku mbili utafanyaje?
acha hizo wewe muandiko tunauwacha duniani tu, pia uwelewi kuhusu boom wewe kuna watu tunalo hilo boom kama hatuna ukipata hiyo laki tano inabaki laki moja tu muda mwingine yote inaisha, hii inatokana na economic background yako vitu vyote nimekuandikia ubishi wako, kitu kingine kukuomba msaada sio ndio nikupigie magoti aya maish tu.
Dah sio fresh Kwan kuandika kuna husiana nn msaada anao omba ?? Piga kimya ka huna msaada mkuu wanachuo tunazijua hali zetu wenyewe we ulisoma kwa rahaYaani wewe una boom unakuja kulia lia humu.
Mwanachuo gani wewe mwandiko kama kuku unadonyoa donyoa tu.
Referrence tu umeshindwa kuandika kiufasaha,hakuna herufi kubwa wala ndogo,nukta hakuna.
Kwa kweli shindia tu scones wewe ni janga kwa taifa.
Usibweke sana,wewe umepewa boom tena bajeti ya kila siku unapeleka ambapo hakuna mpangilio mbaya zaidi una bad strategy,hiyo elimu itakusaidia vipi kama kuandika hujui?Kujenga hoja huwezi
Weka namba ya simu...tujue kama sio tapeli la mitandaoni.
Upo seriously mkuu???Salaam wandugu,tunakuwa pamoja katika mada mbalimbali ila naandika uzi huu kwa kweli katika maisha hakuna hali ngumu niliyowai kupitia kama hii, kiukweli nasoma chuo nina boom ila ingekuwa sina mkopo hii familia yangu isingeweza kunisomesha chuo, kiukweli nina boom ila boom langu linatumika katika vitu mbalimbali mfano kulipa ada, nyumbani kidogo na pia kutokana na hali ngumu ya maisha nafanya uwekezaji kidogo kwa kujibana hivohivo, ila semister hii kwa kweli boom lamgu limekuwa na matatizo sijalipata, nimeishi maisha ya shida nimekopa, nilipewa nguo mpya nimeuza, nimekula mikate mchana jioni nk.
Kiukweli wana jukwaa mtu akiguswa akanikopesha hata 20,000/= au 10,000/= itakuwa imenisogeza hapa nilipo nakula mikate mchana na usiku na hapa napoandika uzi huu nimebaki na scones mbili tu kesho sijajua, nimewakopa watu hadi imekuwa fedhea sasa. atakayeguswa anisaidie inisogeze siku.
Sio na ombaomba ila kwa wakati wa sasa sina aitenative yoyote
namba hiyo 0784931814 airtel money kwa atayeguswa
Upo seriously mkuu???
Leo usiku UMEKULA?nipo serious ndugu, hiyo ndio current stuation kwangu
Kama Leo UMEKULA nadhani Na kesho utakula!.leo nimekula jamaa
Application yangu ya JF kwa sasa haionesh previous post za member wengine.
Kama Leo UMEKULA nadhani Na kesho utakula!.