October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
- Thread starter
- #41
Daah Pole Sana ndugu MUNGU yupo usihofu utakula nini wala utavaa nini, mtegemee yeye peke yake.
amina
Daah Pole Sana ndugu MUNGU yupo usihofu utakula nini wala utavaa nini, mtegemee yeye peke yake.
Mi mwenyewe vyuma vimekaza ni basi tu siwezi kuandika uzi wa kuomba msaada. Napambana na hali yangu! Atapata wa kumsaidiaDemi msaidie mtoto wa mwanamke mwenzio jamani
Mkuu sikaweka namb ya sim hapo?Duu! Pole sana mwenyewe maisha ya chuo nayajua, sasa sijui huo msaada unakufikiaje
Kwann hukupewa mkopo wako Mkuu?halingumu ndugu muda mwingine inakuja automatically haizuiliki, ila kibaya sina kwa kupata hata 5000 ukimfuata wakaribu anasema hali ngumu, madeni kibao ndio maana nakopa sio kwamba hali ya kudumu ila uwezi shinda na njaa mpaka muda itapokaa sawa
Yani laki tano boom af unakaa nayo Kwa muda gan?acha hizo wewe muandiko tunauwacha duniani tu, pia uwelewi kuhusu boom wewe kuna watu tunalo hilo boom kama hatuna ukipata hiyo laki tano inabaki laki moja tu muda mwingine yote inaisha, hii inatokana na economic background yako vitu vyote nimekuandikia ubishi wako, kitu kingine kukuomba msaada sio ndio nikupigie magoti aya maish tu.
Leo usipokula ni PM but iwe kwa UAMINIFUamina
Application yangu ya JF kwa sasa haionesh previous post za member wengine.
Kwa hiyo unafikira kesho itakuwaje Kwa maana ya kula? Kuna watu hawajui Leo itaishaje? Imeandikwa iache kesho ijisumbujie yenyewe...! Huwa nawashangaa sana watu wenye hofu ya chakula cha kesho ..kuna ambao leo mpaka muda huu Ramani haijasomeka
Wewe ni mgogo?
Gharama ya nauli inaweza kuwa sawa au zaidi ya gharama ya chakula chake. Na muda atakaopoteza kuja kula na kurudi chuo.I can feel you joh, tatizo kaka yako nimemaliza chuo na ajira zikasitishwa. Kukutumia hela siwezi, ila kama upo Dar fanya nikuelekeze nilipo uwe unakuja kula.
Duhhhh siku saba aisehhh watu mnajua kufanya cost cuting mwehhhapana nimeshaikadilia ni siku hata saba hiyo
Hakika msafara wa mamba na kenge pia wamo!Yaani wewe una boom unakuja kulia lia humu.
Mwanachuo gani wewe mwandiko kama kuku unadonyoa donyoa tu.
Referrence tu umeshindwa kuandika kiufasaha,hakuna herufi kubwa wala ndogo,nukta hakuna.
Kwa kweli shindia tu scones wewe ni janga kwa taifa.
Inawezekana pia akawa anaishi karibu na chuo,kutembea kwa miguu tu anafikaGharama ya nauli inaweza kuwa sawa au zaidi ya gharama ya chakula chake. Na muda atakaopoteza kuja kula na kurudi chuo.
Kwa ninapoishi vyuo vingi nauli yake haizidi 500. Akija kula akiamua atabeba, ikifika wakati nauli imekua shida tutaangalia tunatatuaje hilo swala.Gharama ya nauli inaweza kuwa sawa au zaidi ya gharama ya chakula chake. Na muda atakaopoteza kuja kula na kurudi chuo.
Inawezekana yupo mkoani sio darDuhhhh siku saba aisehhh watu mnajua kufanya cost cuting mwehh
Na pengne hajasoma kabsa au kaishia 4 kapga f flat, boom analisikia tu,, anafkr ukiwa boom ndo umeshamaliza maisha...Dah sio fresh Kwan kuandika kuna husiana nn msaada anao omba ?? Piga kimya ka huna msaada mkuu wanachuo tunazijua hali zetu wenyewe we ulisoma kwa raha
Una roho mbaya sana wewe..Yaani wewe una boom unakuja kulia lia humu.
Mwanachuo gani wewe mwandiko kama kuku unadonyoa donyoa tu.
Referrence tu umeshindwa kuandika kiufasaha,hakuna herufi kubwa wala ndogo,nukta hakuna.
Kwa kweli shindia tu scones wewe ni janga kwa taifa.
Wewe mwenyewe hapo ulipo unaonekanika kabisa amna kitu eti kujenga hoja..?? Wewe unajua jinsi ya kujenga hoja, kama unaweza msaidie na si maneno kibao roho mbaya tuu.Usibweke sana,wewe umepewa boom tena bajeti ya kila siku unapeleka ambapo hakuna mpangilio mbaya zaidi una bad strategy,hiyo elimu itakusaidia vipi kama kuandika hujui?Kujenga hoja huwezi
Una roho mbaya sana wewe..