Mtu mweusi anapitia wakati mgumu sana duniani.

Mtu mweusi anapitia wakati mgumu sana duniani.

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,554
Reaction score
5,869
Sisi watu weusi tunapitia wakati mgumu sana duniani.

Tunatengwa, tunachukiwa na tunabaguliwa.

Iwe kazini, kwenye michezo, kwenye ndoa, kwenye siasa kila mahali.

Pia sisi wenyewe kwa wenyewe tunabaguana. Utakuta mtu mweusi akiwa na uweupe flani anambagua mwengine.

Ni huko south Africa eti nao wanakubagua ukiwa mweusi na muonekano kama Sheikh Abdullah Mwaipopo.

Wasomali na waethopia eti nao wanawabagua wabantu.

Jamii ya wa tutsi eti nao wanawabagua waafrika wenzao wengine.

Messi na Argentina nawachukia tu kiasili.

Huyu Cristiano Ronaldo naye naendelea kumchukia zaidi kwa kitendo cha aibu baada ya kusalimiana na mchezaji wa Congo DRC akakimbia kwenda kunawa mikono. Tena bila aibu mbele ya Camera.

Watu weupe siyo wa kuwashobokea kamwe mtu mweupe hatawahi kukujali na kukuheshimu ni kuwapotezea tu. Bora uishi na umaskini na low IQ kuliko hizo dharau.

Video ya huyo bwege Ronaldo hapo chini.

adriz de mbusii
 
Hakuna mtu mjinga duniani, ila tatizo ni kuwa waafrika wamefanya upumbavu kuwa sehemu ya uttamaduni wao

Alafu ukute mtu mweusi ndio awe kobaz aka mvaa maashuka hapo ndio anakuwa taka taka kabisa
 
Sisi watu weusi tunapitia wakati mgumu sana duniani.

Tunatengwa, tunachukiwa na tunabaguliwa.

Iwe kazini, kwenye michezo, kwenye ndoa, kwenye siasa kila mahali.

Pia sisi wenyewe kwa wenyewe tunabaguana. Utakuta mtu mweusi akiwa na uweupe flani anambagua mwengine.

Ni huko south Africa eti nao wanakubagua ukiwa mweusi na muonekano kama Sheikh Abdullah Mwaipopo.

Wasomali na waethopia eti nao wanawabagua wabantu.

Jamii ya wa tutsi eti nao wanawabagua waafrika wenzao wengine.

Messi na Argentina nawachukia tu kiasili.

Huyu Cristiano Ronaldo naye naendelea kumchukia zaidi kwa kitendo cha aibu baada ya kusalimiana na mchezaji wa Congo DRC akakimbia kwenda kunawa mikono. Tena bila aibu mbele ya Camera.

Watu weupe siyo wa kuwashobokea kamwe mtu mweupe hatawahi kukujali na kukuheshimu ni kuwapotezea tu. Bora uishi na umaskini na low IQ kuliko hizo dharau.

Video ya huyo bwege Ronaldo hapo chini.

View attachment 3625611

adriz de mbusii
Sasa hawa wareno team yao si wamewajaza wamakonde 😄
In short mimi mtu mbaguzi namchukulia kama ana matatizo ya kiakili tu

Ova
 
Kila race ni wabaguzi na hiyo ni asili ya wanyama. Mchukue punda mchanganye kwenye kundi la punda milia halafu angalia kama punda milia watainteract nae kama mwenzao.

Waafrika tunalilia kupendwa na kukubalika na race zingine kwa sababu kwenye global stage hatuna cha kujivunia na akili zetu zishakua brainwashed kuabudu miungu ya wazungu na waarabu kwahiyo kupitia dini tunajiona ni inferior race
 
kwa sababu ya communists wanadanganya black people, kwanza black people ndiyo wanaojitenga na kukataa kuwa sehemu ya mainstream, wengine wote wana-integrate isipokuwa black people kwa maana communists wanawaambia wao ni waafrika na wakatae "uzungu" lkn dunia hii bila ya "uzungu" hauwezi kuendelea wala "kustaarabika" huo ni ukweli tunaweza ku-debate hapo lkn uzungu ndiyo unaotawala dunia, na anayekwambia na kukufundisha kwamba uzungu uwe adui yako basi hakupendi na anataka uabakie backward.

nitakupa kwa mfano black americans wanaishi USA kwa miaka zaidi ya 400 sasa lkn wanakataa ku-integrate in mainstream USA wanataka kubakia "african american", sasa hivi wana lugha yao inaitwa black english (ambayo ni broken english) ambapo wanapigania watoto wao shuleni wafundishwe black english na kufanyishwa mitihani kwenye hiyo black english lkn google au apple hawatumii black english au US government hwatumii black english na kampuni itakayo kuajiri kama hauongei standard amerikan english, hivyo wao black american ndiyo wanaojitenga na ndiyo maana kila mtu anatuona tofauti.

black people wanamilikiwa na communists na muslims, ni mpaka siku watakapojitenga na communists na kukata minyonyoro ya utumwa waliofungwa na muslims ndiyo maendeleo ya kweli yatakuja na mwishowe kuheshimiwe na kila mtu.

angalia mfano sasa hivi, waafrika wamejilpanga eti wanadai fidia ya utumwa wamefika mpaka un wakati rest of the world wana move on na mambo ya ai, nuclear technology, wanafikiria kwenda mars, wana-invest in science and technology ila afrika wanataka watoto wa kizungu ambao hawana uhusiano wowote ule na utumwa wakatwe kodi kuwalipa waafrika kwa mambo yaliyotokea 400 years a go, sasa unafikiri hawa wazungu watatupenda? hii inazidi kuongeza chuki ambayo tayari ipo, and guess who advices black people kudai fidia ya utumwa? ni communists na muslims.

respect is earned na haipewi bure ...
 
Ronaldo amecheza mpira na weusi kibao kuanzia porto, ManU, madrid na hata huko arabuni anakokiwasha sahivi na hajawahi kuonesha vitendo vya kibaguzi. Kuhusu kunawa baada ya kumsalimia huyo mkongo labda ni kutokana na historia ya ushirikina ya wakongo (Zaire) walipoendekeza ushirikina wazi wazi kwenye fainali za WC sikumbuki za mwaka gani, kwani inasemekana walienda na waganga wengi kuliko technical team na wachezaji. Lbda akaona asije akawa amwrogwa bure.
 
Back
Top Bottom