Salaam wandugu,tunakuwa pamoja katika mada mbalimbali ila naandika uzi huu kwa kweli katika maisha hakuna hali ngumu niliyowai kupitia kama hii, kiukweli nasoma chuo nina boom ila ingekuwa sina mkopo hii familia yangu isingeweza kunisomesha chuo, kiukweli nina boom ila boom langu linatumika katika vitu mbalimbali mfano kulipa ada, nyumbani kidogo na pia kutokana na hali ngumu ya maisha nafanya uwekezaji kidogo kwa kujibana hivohivo, ila semister hii kwa kweli boom lamgu limekuwa na matatizo sijalipata, nimeishi maisha ya shida nimekopa, nilipewa nguo mpya nimeuza, nimekula mikate mchana jioni nk.
Kiukweli wana jukwaa mtu akiguswa akanikopesha hata 20,000/= au 10,000/= itakuwa imenisogeza hapa nilipo nakula mikate mchana na usiku na hapa napoandika uzi huu nimebaki na scones mbili tu kesho sijajua, nimewakopa watu hadi imekuwa fedhea sasa. atakayeguswa anisaidie inisogeze siku.
Sio na ombaomba ila kwa wakati wa sasa sina aitenative yoyote
namba hiyo 0784931814 airtel money kwa atayeguswa