Msaada wana JF niko kwenye wakati mgumu

Duu! Pole sana mwenyewe maisha ya chuo nayajua, sasa sijui huo msaada unakufikiaje
 
Mbona mwandiko kama wa primary
Kuomba msaada sio aibu ila muwe wakweli
Kwa mwandiko huo
I am out

mwandiko mapungufu ya wengi ila tunajitaidi tu, uwanachuo sio kujua kila kitu kumbuka mwandiko tunajifunza shule ya msingi sio elimu ya juu hivyo isiwe njia ya kutumia reference kwa elimu ya juu
 
Kwa hiyo unafikira kesho itakuwaje Kwa maana ya kula? Kuna watu hawajui Leo itaishaje? Imeandikwa iache kesho ijisumbujie yenyewe...! Huwa nawashangaa sana watu wenye hofu ya chakula cha kesho ..kuna ambao leo mpaka muda huu Ramani haijasomeka
 
halingumu ndugu muda mwingine inakuja automatically haizuiliki, ila kibaya sina kwa kupata hata 5000 ukimfuata wakaribu anasema hali ngumu, madeni kibao ndio maana nakopa sio kwamba hali ya kudumu ila uwezi shinda na njaa mpaka muda itapokaa sawa
 
Yaani wewe una boom unakuja kulia lia humu.
Mwanachuo gani wewe mwandiko kama kuku unadonyoa donyoa tu.
Referrence tu umeshindwa kuandika kiufasaha,hakuna herufi kubwa wala ndogo,nukta hakuna.
Kwa kweli shindia tu scones wewe ni janga kwa taifa.
 
Back
Top Bottom