Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Not seriously like u wish
Kwa kiswahili ulikuwa unamaanisha nini? Wéngine hiyo sentensi haikuwa kwenye silabasi wakati tukisoma chuo kikuu cha sayansi ya tiba.
Not seriously like u wish
Sina haya ya kukuambia. We kam zis wei nikukague. Utayajua kwenye chumba cha ukaguzi.
nataka nije aisee ni wap sasa?
Ratiba na lokeshen vinapangiwa PM, hapa wapagani wengi.
Not seriously like u wish
Nimekupenda sana ujue