...Msaada Wana chit-chat...

Guys huyu zubedayo_mchuzi haongelei gari la kawaida hapa! Hamuoni hata Arabela mwenyewe anashangaa kama gari ni gari kweli? Na huo MLIMA siyo mlima kweli. Hakuna wanafalsafa humu wampe jibu? Me naogopa BAN.

mbona waungwana tushamuelewa....mkuu nawe gari lako laweza panda mlima?
 
Last edited by a moderator:
Guys huyu zubedayo_mchuzi haongelei gari la kawaida hapa! Hamuoni hata Arabela mwenyewe anashangaa kama gari ni gari kweli? Na huo MLIMA siyo mlima kweli. Hakuna wanafalsafa humu wampe jibu? Me naogopa BAN.

Mi nadhani kwa gari analoongelea zubedayo_mchuzi majibu yake ni comment namba 8. Nakuambia ata enjoy kuliendesha, hatutasikia akilalamika tena!
 
Last edited by a moderator:
usiogope Arushaone nothing will happen fafanua tu
Arushaone anaogopa BAN. Lakini sie ambao BAN imekuwa sehemu ya afya zetu ngoja niropoke................ akh, tatizo zubedayo_mchuzi amezoea kupanda mwanapunda, lakini yeye kupandwa na mwanapunda akha! wacha nishike break.......... maanake watanimiss kule kwenye jukwaa la stress.
 
Mungi huwezi amini sijaelewa bado
 
Last edited by a moderator:
Mungi huwezi amini sijaelewa bado
Arabela hebu kuwa mkweli!...................... inamaana hujapanda hiyo vitara mpya ya zubedayo_mchuzi?
Hebu ipande, halafu mwambie akifikia kwenye mlima wakati anashuka aigeuze ashuke kwa rivasi......... na hiyo ikigoma mpe msaada wa kulisukuma itakwenda tu!
 
Last edited by a moderator:
Eeesu, maria na osefuuu! Rivasi kwa mwendo kasi si utaua giaboksi arawa! Otee na iyoo, hapana aisee. Atafute fundi wa kuzindua hizo gia jamani. Magari ya tabu na maintainance ghali mno.
Hebu jaribu kushuka mlima kwa rivasi utaona inavyokimbia speedi
 
weekend boring sana iko fupi ndo ishaisha kesho msaragambo

pole wangu mwenzio natamani hata weekend ingekua siku 3...kwani upo pande zipi TA au DSM, maana wenzio huku DSM wikiendi twaiona fupi kwa kuwa raha ni nyingi kupitiliza
 
Eeesu, maria na osefuuu! Rivasi kwa mwendo kasi si utaua giaboksi arawa! Otee na iyoo, hapana aisee. Atafute fundi wa kuzindua hizo gia jamani. Magari ya tabu na maintainance ghali mno.

Sasa unataka kumshauri fundi gani wa kuzindua? Kama ni hivyo basi amtafute Babu Asprin, manake nasikia ni mtaalam wa matatizo kama hayo kwenye magari yanayoshindwa kushuka mlima
 
Last edited by a moderator:
Arabela hebu kuwa mkweli!...................... inamaana hujapanda hiyo vitara mpya ya zubedayo_mchuzi?
Hebu ipande, halafu mwambie akifikia kwenye mlima wakati anashuka aigeuze ashuke kwa rivasi......... na hiyo ikigoma mpe msaada wa kulisukuma itakwenda tu!

sijaipanda bado wala sijajua kama ana gari.. Jaman akinialika kuipanda ntamsaidia
 
Last edited by a moderator:
pole wangu mwenzio natamani hata weekend ingekua siku 3...kwani upo pande zipi TA au DSM, maana wenzio huku DSM wikiendi twaiona fupi kwa kuwa raha ni nyingi kupitiliza

niko Ta... Mh huku hamna raha kabisa yaani choka mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom