zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
- Thread starter
- #41
Mh hapa cpo
Utakuwa shahidi wewe,
Mh hapa cpo
Hata wewe unanikana jukwaani umepata mwingine nini...
mh my hubby ni wewe tu
Hyo vitara hapo nje huioni...
naiona mpenzi
Nimenunua ka vitara ka kutembea na Ma wife arabela lakini haka kagali kana nishangaza eti Kwenye MLIMA kanapandisha ila kushusha kwenye mlima haitaki hata uweke free...
..hi gari yaniumiza kichwa..
Upo Nchi gani Mkubwa?
Na kama wewe ni mwenzetu,je upo mkoa gani?
Mambo madogo hayo sana!
Kama vp uniPM!
Tatizo lake ni kutoweza kushuka mlima...nimeipeleka NIT kwa Prof wa maintanance aicheki.