Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 8,844
- 27,551
Tumia media player inaitwa MX PLAYER iko playstore ukifungua movie husika unachotakiwa ni kubonyeza pale kwenye vidoti vitatu juu mkono wa kulia kama sijasahau kisha utaona option ya ku add au ku search subtitle.Kisha uta search online kwa kuzingatia format ya movie husika na itaingia muda huo huoVipi na kwa movies za kuangalia online?